Juu ya ajali mbaya ya maskini_jeuri

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,035
WAPENDWA SANA,
taarifa mbaya kabisa ni kwamba yule mmoja wa wahanga wa ajali aliyekuwa hoi sana AMEFARIKI DUNIA.

sasa kwakuwa maskini_jeuri ndiye alikuwa dereva wa ile gari,ana ya kuendesha gari kwa vyovyote jamhuri itakavyoita(uzembe au vinginevyo) na kusababisha KIFO......!hivyo basi hapa ninavyowahabarisheni ni kwamba maskini_jeuri anaelekea Dodoma nyumbani kwake kwa ajili ya maandalizi na kujipanga kidogo,again jumanne ya tar 2/11/2010 ataripot kituo cha polisi morogoro na jumatano ni siku ya KESI mahakamani!

WITO WANGU:
TUmuombee Maskini_Jeuri mambo yake yaende vizuri lisije kutokea la kutokea!imani yetu tulio wengi ni kwamba ile ilikuwa ajali tu.

Tumuombee Maskini_Jeuri akipite kipindi hichi kigumu kwake na familia yake.I can imagine ''the hell of life'' he is going through kwa sasa.

Wenye GUTS zenu tunaomba msaada kama mnaweza kuweka ''mikono'' yenu kwenye hii issue maanake ''the way i look things'' ni kama jamaa yupo kwenye wakati mgumu kidogo.

Wasalaam,
Baba Gift
 
Dah Pole sana MJ

Umewasiliana nae mipango inaendaje?

Poleni sana wafiwa.
 
ooh, sorry, pole sana Maskin Jeuri. Hope all will go well. Kwenye maisha kuna ups n downs, but siku zote kuna mlango wa kutokea. God will see you through this.
 
Too Bad!
Ni habari zinazokata maini!
Mungu saidia mtu huyu, na RIP mwenzetu aliyefariki!
Wenye msaada wa hali na mali tuangalie hii maneno jamani, maana haya ni maafa katika maisha!
 
wakuu,
tunaomba pia kama kuna msaada wa ki-sheria jamani......!walau kujua namna ya kukabiliana na hizi criminal offences:doh::doh:
 
Mungu amalaze pema peponi- amen

MJ ....Mungu atakuongoza na ufanikiwa kuushinda wakati huu mgumu uliokukabili.....just keep faith
 
Pole sana MJ, Naweza kufikiri alivyo na wakati mgumu lkn ni kwa muda Mungu atamvusha bila kujua amevukaje.
Kwa wale walio karibu nae anhitaji true comfort na msaada wa kila hali,pity him.

Baba Gift asante kwa taarifa na moyo unao onyesha,God bless
 
wakuu,
tunaomba pia kama kuna msaada wa ki-sheria jamani......!walau kujua namna ya kukabiliana na hizi criminal offences:doh::doh:

Baba Gift nakubaliana kuwa ushauri wa kisheria unatakiwa hapo.

Kuna case ilitokea, a bit similar ya mtu kuunganishwa kwenye mashtaka ya mauaji. Wezi waliingia nyumbani kwake usiku, wenye nyumba wakapiga kelele, wezi waliporuka ukuta mooja wao akakamatwa na wananchi akapigwa hadi kifo. Jamaa mwenye nyumba (hakushiriki kupiga mwizi) alikamatwa na alisota lupango muda mrefu. Baadaye ikaonekana hakuna kesi lakini alishasumbuliwa sana.
 
umeona eeh!
tumsaidie ndugu yetu wajameni....
 
Pole sana MJ maombi yetu yako pamoja na wewe mungu akusaidie sana hili ulishinde pia awatie nguvu wafiwa
I am so sorry
 
Pole sana MJ, Poleni pia wafiwa,
God makes a way where seems to be no way, Hope He will pass u thru.
 
umeona eeh!
tumsaidie ndugu yetu wajameni....
baba gift (sipendi kulitamka hili jina), kwa uzoefu wangu hapa inaonekana kama traffic case tu...nothing criminal! mj hana haja ya kuogopa sana, muhimu ni kujiweka sawa kwa kesi kama hizi zenye penalt zenye faini au kifungo au vyote kwa pamoja (nadhan nimeekeweka).
Pole sana mkuu mj na rip marehemu...
 
Back
Top Bottom