Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?
Hasa pale...
Nilikuwa napitia kitabu kinachoitwa This is love. Mwandishi wa kitabu hicho anasema iwapo watu wa jinsia mbili tofauti na wasio na undugu wowote, na kama wanakaa ofisi moja huku viti vyao vikiwa...
Habari wanajamvi,poleni na wkeend. Katika pitapita zangu wkend hii nimekutana na mwanadada mmoja kwa maelezo anahitaji ushaur kabla mambo hayajaharibika. Huyo dada amekuta picha za utupu za...
Wana ndoa wengi wamekuwa wakikutana na changamoto nyingi sana ndani ya ndoa zao na wengi wamekuwa wakikimbilia kuombana msamaha au kusameheana kama njia ya kuokoa ndoa hizo. Lakini sidhani kama...
nataka kuitwa wifi hadi nichoke mwaka huu!
nataka kula pilau la harusi,
nataka kupiga vigelegele hadi koo likauke ndio maana mabinamu zangu especialy those single ones nawaletea vifaa ambavyo...
Jamani, demu wangu kaniambia anaupenda ulimi wangu kuliko anavyonipenda mimi. Mi hata sijui niichukuliaje hii.
Ananisifia au ndio anatafuta njia ya kutokea?
Jamani wanaMMU wote walio na mapenzi na the one and only..our very own Rev Masa and my very own baba mchungaji naomba tushiriki kumkaribisha nyumbani!!
Leo jioni anarudishiwa uhuru wake rasmi so...
:bump:
Waungwana wa JF, plz nipeni mwongozo wa ku-access jukwaa la wakubwa.Lengo: Nataka kupost mada "Privacy" ili nipate ushauri wa haraka.
Thanx kwa kunisoma.
Huyu Dada amekuwa ni mwingi wa mawazo akijiuliza maswali yasokuwa na majibu ..na kujikuta anakosa amani
Ni takribani miezi miwili sasa ,mpenzi ,mchumba ,husband to be wake amekuwa kila mara...
Porn loving father gets the wages of sin
By Anthony Ngira
A 55-year-old porn addict recently broke down and wept at a pub in Limuru town when he recounted to fellow drinkers how he had purchased...
Wandugu, hii habari nimeicopy sehemu, ila nimeamua kuiweka hapa kutokana na jinsi ilivyoendeshwa sivyondivyo, Je hawa watu wanjyonge kweli watapata hakiz zao kisa pesa za wenye navyo? Police...
Jamani huku vijijini kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kukimbia na kwenda mjini kwa kisingizio cha kwenda kutafuta maisha. Lakini sasa imekuwa ni kero kwa baadhi ya vijana wa kiume waliooa...
Well, hakuna kitu kibaya kama kumfumania mpenzi wako, tena nyumbani kwako na hasa kitandani kwako.
Huyu mke kamkomesha mgoni wake au mumewe?
Likikutokea, utafanyaje. Assume nafasi yeyote kati ya...
TRUE STORY,IMETOKEA MAJUZI MAENEO YA TEGETA:
Baba kapokea ofisini parcel toka DHL,sender hamjui,kuifungua akakuta bahasha na ndani yake kuna DVD haina title.Akawa puzzled lakini akasema anyway...
Why some regret dumping their lovers Saturday, 29 January 2011 10:39
Erick Mchome
THE CITIZEN
Grace and Daniel have been dating for more than five years. The two first met at a friends party...
Salam dadaz na kakazz...natumaini mlitumia weekend yenu responsibly na kuimaliza salama.Nawatakia jumatatu njema na wiki kwa ujumla!
Tuanze kwa kukumbushana jambo au mawili especially kwa...
Nimetoka kunywa supu mitaa ya kati cmu yangu niliacha mezani na kwenda kunawa mikono mhudumu wkt anatoa vyombo akatoa na cmu yangu yaani kitendo kimefanyika ndani ya dk.2 nashangaa cmu haionekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.