Kwa wazazi tu!

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,063
TRUE STORY,IMETOKEA MAJUZI MAENEO YA TEGETA:
Baba kapokea ofisini parcel toka DHL,sender hamjui,kuifungua akakuta bahasha na ndani yake kuna DVD haina title.Akawa puzzled lakini akasema anyway nitaiangalia nikifika nyumbani. Kufika nyumbani akamweleza Bi Mkubwa kuhusu hiyo parcel,wakamwita binti yao(teeneger) na mama akamwambia awashe tv na deck yake kisha akaweka ule mkanda. Wamekaa sasa mama,baba na binti wanasubiri waone mkanda una nini. Mkanda ukaanza taratibu mara lahaula wanamwona mtoto wao mkubwa wa kiume anayesoma Uingereza yuko bize dume la kizungu limempanda juu!Hebu niambie ndugu yangu kama mzazi hii unai handle vipi? Yamemkuta mzazi mwenzetu,tena majuzi tu.
 
that is a dizaster,,,, mimi sijui hata ningeanzia wapi, labda ningeanza kwa kuomba ushuri humu jf
 
Mungu wangu.....whaaaaaaaaaaaat???

Ningeomba tu Mungu anipe nguvu then nimuite mwanangu nyumbani aje tuyazungumze before its too late....jamani...........:A S 20::A S 20:
 
Kuihandle kwasasa ni ngumu kusema ila walifanya kosa moja, walipaswa kuiangalia kwanza kabla ya kumuita huyo mtoto mdogo! (Ushauri: Mods, hii ipelekeni kwa wakubwa!)
 
Ha jamani watu wengine bana kwanini wamemfanyia hivyo mwenzao??
Itakuwa amekosana na mtu si bure.

Unaweza ukazimia aisee
 
before it is too late? Its already late, kitendo cha kufikia hadi kutokeakwenye hivyo vcd/dvd isnt it too late?
Mungu wangu.....whaaaaaaaaaaaat???

Ningeomba tu Mungu anipe nguvu then nimuite mwanangu nyumbani aje tuyazungumze before its too late....jamani...........:A S 20::A S 20:
 
inapaswa kumwita mtoto wao na kumuuliza kama ni tabia yake ama kun a tatizo lolote, maana inawezekana jamaa alichuku demu wa hao jamaa ndio wakaamua kumkomoa, wako wengi walifanyiwa hivyo hata TAnzania , tena wafanyabiashara wakubwa tu
 
Mmmh inauma kwakweli,lkn mm ningekuwa ndo mzazi wa huyo kijana ningezima zen naiweka kwenye bahasha na small note"mwanangu mpendwa"zen kesho ningem2mia huko huko,nikae nisubiri jib lake!
 
Mtoto Mwingine alirudi apa Tanzania na kijana mwenzie wanaesoma wote huko USA,baada ya chakula cha jioni akamtambulisha kwa wazazi wake huko kwao mbezi beach "Dady this is Jonhson my Boyfriend”Shock alioipata Baba mzazi mpaka leo hii amepata stroke!
Nafikiri pia mnakumbuka yule mtoto wa mtu maharufu apa Tanzania alieuliawa na mbwa Beach wakati analiwa uroda na Boyfriend wake.Dogo kwa kuwa alishakuwa amevua nguo zote alishindwa kimbia so Mbwa wakamuua ila Basha ake alifanikiwa kupata majerui kidogo na kukimbia.
Tuombe Mungu hali inatisha kweli
 
god jesus!....

mie sijui ningefanyaje,manake hio chuki ni chuki gani mpk kutafuta mahali anakofanyia kazi mzazi wa mwenzio kisha umtumie upuuzi wa mwanae???akipata stroke je???kuna watu wengine sijui wameumbwaje?:coffee::twitch:
 
Da yaani sijui binaadam wengine wameumbwaje,ila mwisho wa siku watalipwa kwa waliyoyatenda inauma kweli...
 
Kuihandle kwasasa ni ngumu kusema ila walifanya kosa moja, walipaswa kuiangalia kwanza kabla ya kumuita huyo mtoto mdogo! (Ushauri: Mods, hii ipelekeni kwa wakubwa!)

Alikosea sana kuita familia nzima kuangalia kitu ambacho kimekuja in "SINTOKUJUA" situation. Ni akili ndogo tu hapo ilitakiwa itumike.
Hapo mzee kwanza alitakiwa aangalie peke yake by any means ili kujua what's in it, maana ingeweza kuwa hata mke wake, or even yeye mwenyewe somwher/somhow., who knows..!

Pole zangu kwa familia hiyo though :(
 
Ooh jamani!
Mimi sio mzazi ila ingetokea ningempigia simu mwanangu nimsikie atasemaje, kama ndio tabia yake nitamrudisha nyumbani kwanza kuliko kuendelea kupoteza hela.
Aibu hiyo. Mmh!
 
Ooh jamani!
Mimi sio mzazi ila ingetokea ningempigia simu mwanangu nimsikie atasemaje, kama ndio tabia yake nitamrudisha nyumbani kwanza kuliko kuendelea kupoteza hela.
Aibu hiyo. Mmh!

Kwa wazazi 2.
 
Back
Top Bottom