Hii ni kweli kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni kweli kabisa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KAUMZA, Jan 31, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa napitia kitabu kinachoitwa This is love. Mwandishi wa kitabu hicho anasema iwapo watu wa jinsia mbili tofauti na wasio na undugu wowote, na kama wanakaa ofisi moja huku viti vyao vikiwa vimetizamana na hivyo kuwafanya nao watizamane(kama mkao wa daktari na mgonjwa), siku ya mwisho hujikuta wakiangukia katika mapenzi.

  Onyo: mkiwa ofisini wekeni viti vyenu katika mkao ambao hamtaangaliana. usijaribu
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Opposite attract..., haijalishi ukiwa karibu na mtu wa opposite sex kwa muda mrefu its likely you will fall for each other... therefore hapo issue sio kukaa pamoja na kuangalina issue its spending a long time together..
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo hatakama mtu hayuko attracted na mwenzake hata kidogo atampenda!!Nakataa kuamini...labda utueleza kinasema ni sababu gani haswa zinasababisha!
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  inawezekana...
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Sijasoma hicho kitabu lakini lets take it to the extreme..... alafu takurudisha

  lets say your worse enemy someone who you will never look twice... kwa bahati mbaya mkaanguka kwenye desert yeye na wewe tu no one else, je hauta- fall for him, (because its like from the worse feeling, kwamba huyu jamaa hafai, utaanza kuona some good things from him..kwamba hivi kumbe huyu yuko hivi, he is not so bad after all)

  Now lets take it to a normal scenario.., maybe you are very busy, ni nyumbani with husband and family na kazini with a person you share a desk with. At home the most time you spend with your husband is arguing and sleeping, at work you spend 8 hours with this unattractive person..., whom sababu ya matatizo yako nyumbani he looks somehow better now and understanding than your mate at home... (As you know even devils have their soft spots and no one is 100 % bad everyone has some good qualities... and physical attraction aint everything..) soon or later you will start falling for him
   
 6. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Inawezekana kabisa....
   
 7. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  hyo ni kwel.....
   
 8. B

  Baruhongerachi Member

  #8
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo sijaiamini saana though mambo ya kimapenzi kiukweli hayana mbaya wala mzuri,lakini hii yako ndugu kuna haja ya kuitafiti!
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Inaweza kuwa kweli.....:coffee:
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ni kweli hasa wanawake inawatokea hivyo....anaweza asikupende kabisa siku ya kwanza but
  mkifanya kazi pamoja,mara lunch.mara jokes...unastukia mtu akikuona na mrembo mwingine anachukia...
  unajua kasha fall.....
   
 11. LD

  LD JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndo maana kama hupendi mtu na unaamini hupendi bora ukae mbali nae kabisa, lake usilijue na lako asilijue.

  LOVE IS MADE BY PRESENCE!!
   
 12. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hii inawezekana kabisa tena inakuja automatically pale mtu anapokuja na stress za home

  Mfano mwanaume anakuja amekasirika ile mbaya kila kitu mkali sasa wanawake sometimes wanakuwa na huruma

  Si kwamba anapenda kufanya hivyo ni maumbile atapoanza kumuuliza tatizo ni nini, pole sana ndo dunia,

  Mara ooohh umekunywa chai anatumwa muhudumu mara twende lunch punguza hasira na kumbuka huyo mtu

  Anaspend a lot of time akiwa na huyo mtu nyumbani its just 5hrs tena hapo kama hapitii kwenye kilauri

  Most of the time anakuwa na huyo mtu what next?? Love hata kama ilikuwa haipo itakuja.

  Maana akifikiria kurudi home maudhi tele ofisini anakuwa taken care malove lazima yaanze. Mawazo yangu tu lakini
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,499
  Likes Received: 19,915
  Trophy Points: 280
  haiwezekani kabisaaaaa
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  duuhh
  sisi twa simama au kupiga magoti kazini kwetu..
  kwa hiyo nimejitoa lol
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hilo halina ubishi hata kidogo na mifano ni mingi sana
   
 16. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hujambo marytina?
  hebu tupe hiyo mifano mingi uliyonayo!!!!
   
 17. M

  Marytina JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mi mzima niliwamis for sometimes!kumbuka vigroup discussion vya chuo au shuleni with time nini kilifwata baada ya somo kama sio kutongozana?
   
 18. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kama huamini jaribu uone!!!!!
   
Loading...