Maskini huyu mtoto!!!TAMWA mpo?

Kituku

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
238
24
Wandugu, hii habari nimeicopy sehemu, ila nimeamua kuiweka hapa kutokana na jinsi ilivyoendeshwa sivyondivyo, Je hawa watu wanjyonge kweli watapata hakiz zao kisa pesa za wenye navyo? Police wamekuwepo kunyanyasa wanjonge tu!!

INASIKITISHA MNO.!

HABARI:

MIMI NI MKAZI WA KIMARA STOP OVER GARAGE- KUNA MTOTO WA MIAKA 3 ALIBAKWA HAPA MAENEO YA KIMARA GARAGE MBELE KIDOGO YA KIMARA STOP OVER,,,KWA KWELI MKASA WENYEWE UNASIKITISHA UWEZI AMINI KAMA WATU NA AKILI ZAO WANAWEZA KUFANYA KITENDO CHA KUSIKITISHA HIVI HASA JESHI LA POLISI,,,,STORY YENYEWE ILIANZA HIVI,,,MTOTO MDOGO KWA JINA TUNAMHUIFADHI ALIRUDI KWA MAMA YAKE MCHANA KWEUPE AKILALAMIKA MAUMIVU SEHEMU ZA SIRI.

MAMA YAKE BAADA YA KUMPEKUA AKAMKUTA AKIVUJA DAMU KIBAO ILIYOCHANGANYIKA NA MBEGU ZA KIUME,,HUKU SEHEMU ZAKE ZA SIRI ZIKIWA ZIMECHANIKA KABISAAAAA,MTOTO BAADA YA KUULIZWA NANI KAKUFANYA HIVI AKASEMA FULANI (JINA TUNAMUHIFADHI)KWA KWELI MAMA ALIPIGA UKUNGA MAJIRANI WAKAJAA PALE,,BAADA YA KUAMBIWA KILICHOTOKEA WATU WAKAKIMBILIA KWA MBAKAJI NA MAWE NA MATAIRI WAMCHOME MOTO,,JAMAA TAYARI ALIKUWA KASHATOROKA SAA NYINGI.

IKABIDI WATU WAMSAIDIE MAMA KUMBEBA MTOTO NA KUMKIMBIZA KITUO CHA POLISI CHA MBEZI KWA YUSUF(MBEZI LUIS) WAKAPATA PALE PF3 YA MATIBABU NA RB YA KUMKAMATA MBAKAJI NA KESI IKAFUNGULIWA PALE,KWA KWELI ILIBIDI UFANYIKE MCHANGO KIDOGO KUMSAIDIA YULE MAMA MAANA ALIKUWA HANA MUME WALA UWEZO KAZI YAKE YEYE NI KUWACHOTEA MAJI MAJIRANI NA KUPATA VIJISENT ANAVYOJIKIMU YEYE NA MWANAWE.

MTOTO AKAPELEKWA MWANANYAMALA AKALAZWA...JIONI SASA NDO IKAWA KIMBENDE MAANA YULE MVUTA BANGI AU MBAKAJI ALIRUDI NA KUANZA KUWATUKANA WATU KWAMBA HAWAWEZI KUMFANYA LOLOTE,, ALIKUWA ANATUMIA JEURI YA KAKA YAKE ANA PESA NA HATA MKIMUWEKA NDANI ATATOKA TU (KAKA YAKE ANAFANYA KAZI TBL).NA POLISI AKIENDA ATATOKA TU ATA KWA UCHAWI.

WATU WAKAPIGA SIMU POLISI DEFENDER YA POLISI IKAJA IKAMBEBA SAA 5 USIKU AKALALA KITUO CHA POLISI MBEZI KWA YUSUF,,ALILALA LITUONI SIKU MBILI BILA HATA KUPELEKWA MAHAKAMANI,,,KATIKATI YA HIZO SIKU 2 SIJUI NDO MPELELEZI WA KESI AU POLISI HATA HATUJUI (HAWAKUWA WAMEVAA UNIFORM)KUTOKA KITUO CHA POLISI MBEZI WALIENDA HOSPITAL YA MWANANYAMALA NA KUMLAZIMISHA DAKITARI ANAYESIMAMIA VIPIMO VYA UBAKAJI AWAPE FAILI WARUDI NALO KITUONI DAKTARI AKAKATAA KATA KATA KUWAPA,,(KISHERIA HAMNA DHAMANA KWA MBAKAJI NI MAGERZA TU).

CHA AJABU SIKU YA 3 KESI IKACHAKACHULIWA NA POLISI ANAYEIPELELEZA! YULE MBAKAJI AKAPANDISHWA MAHAKAMANI KWA KESI YA UKABAJI BADALA YA UBAKAJI PATAMU HAPO..CHA AJABU HATA MJUMBE WA NYUMBA KUMI KUMI NDO ALITOA KIBALI CHA DHAMANA,,HIVI KWELI HII TANZNIA TUTAFIKA KWELI KWA UNYAMA HUU,NASIKIA MAMA WA WATU KAJIFUNGIA NDANI NA MWANAWE KAZI YAKE NI KULIA TU,,,WATU WALIPOJARIBU KURUDI KITUONI PALE MBEZI ASKARI WAKASEMA ETI WALIKOSEA BADALA YA KUANDIKA MBAKAJI WAKAANDIKA MKABAJI.

WALIPORUDI KUJA KUMKAMATA YULE MBAKAJI TAYARI ALIKUWA AMETOWEKA KUSIKOJULIKANA,,KAKA WA MBAKAJI ALITOKA AKAENDA KWA MAMA WA MTOTO NA KUANZA KUMTISHAKAMA AKIFUATILIA ZAIDI HII KESI ATAMHUAMISHA MJINI,,,INASIKITISHA JAMANI HEBU MTUSAIDIE HATA KUISUKUMA HII MSG TAMWA HATA KWENYE VYOMBO VYA HABARI ILI HAWA POLISI WALIOCHUKUWA PESA WASHITAKIWE....NAOMBA MSINITAJE JINA MIMI NILIERIPOTI VITISHO VIMEKUWA VIKUBWA

ASANTENI SANA
MLALAMIKAJ

Source- Florah blog spot
 
Polisi wa bongo ni wajinga kuliko wendawazimu. Kamata kaka wa huyo mwendawazimu na polisi wote tia ndani ndio kitaeleweka au sivyo wananchi wataishia kuchukua sheria mkononi wasimlaumu mtu. Serikali ya Tz. imeoza kuliko.
 
Kwa kweli mimi Polisi wa TZ siwapendi kuliko shetani ni wash**** sana yaani njaa zitawau ila mimi naamini siku zote kuwa mambo yote hapa hapa duniain
 
Muda umefika wa kuikomboa nchi, utwala wa sheria hakuna kabisa, mwenye nacho ndio mwenye sheria hiyo ndio imetoka
 
Jamani,nimewahi kushuhudia kesi nyingine tena mbakaji aliachiwa,ndugu wa mbakaji wakawa wanatishi kumuua aliyebakwa,mwishowe familia ikakaa na kumaliza kifamilia.....life is not fair,ntalifikisha TAMWA na TAWLA ila kama file limebadilishwa itakuwa ngumu,kwenye kesi yetu sisi faili lilipotea kabisa,polisi walisema hawalioni......haya mateso jamani,sipati picha huyo mtoto na mama yake wana maumivu na hofu kiasi gani jamani????Mungu awalipe hao polisi na mbakaji sawa sawa na dhambi zao........It hurts aisee...:A S 20::A S 20::A S 20:
 
jamani naomben ht mimi niliyosoma hii thread msinitaje! watajwe waliochangia 2.
 
Kwa haya mambo, nahisi SOON ntakuwa MUUWAJI.

Sintakubali kugeuza shavu jingine ili NIZABWE KIBAO.

Kumbaka mwanangu ni kunizaba mie kibao..........

Hapo ujuwe, ntakuwinda kama PANYA hadi huko uliko nikutoe UTUMBO.......
 
shetani ashindwe kwa jina la Yesu

kwa mambo ya kisheria, kuna mtanda mpana sana wa mshirika yanayotetea haki za binadamu hapo dar, TAMWA, TAWLA, LHRC, NOLA, WLAC nk.

ooh, Mungu wangu, watembelee mama na mtoto wake
 
Kwakua kisasi si juu yetu ila ni cha mungu peke sawa na hatuna haki ya kulaani, ila mimi namwambia hivi mungu a dili na wote waloshiriki kumtetea huyo mbakaji, awa hukumu zaidi ya walivyotenda, huyo mbakaji ampe hukumu kali sana. Kakaake na mbakaji na hao mapolisi mungu awa hukumu watoto wao wakike na wakiume wafanyiwe vivo hivyo na mungu awalaani hao wote walo mtetea huyo mbakaji wao na vizazi vyao vijavyo, ninamuomba mungu afanye hivyo kwakua sina haki ya kisasi wala kulaani. Ila ningependa nishuhudie kwa macho mungu alivyowafanyia. Nakama nimemkosea mungu kumwambia hivi anisamehe kwani imeniuma kuliko kawaida.
 
Hii ni sehemu tu ya wale wachache walioonekana na taarifa zao zikatangazwa, Je wangapi familia zinafungwa midomo kwa kupewa kitu kidogo ambacho hakina thamani kabisa ubora wa mtu? hela unatumia mwezi mmoja inaisha... utu na hadhi ya mtu je? magonjwa, psychological effects?? Kama kweli sheria ingekuwa inafuatwa, wabakaji dawa yake ni kunyongwa tu.
 
Hawa polisi hawana utu kabisa, ni waongo mara nyingi wamekuwa upande wa waharifu.

Ukiaka kufanya urafiki na polisi uwe mharifu tu anajua atakukamua pesa na mbinu ya kutoka polisi atakupa na aliye kutaja atakwambia...

Cjaelewa huwa wanafundishwa nini vyuoni mwao.

Kwa kweli haya matukio ni mengi sana kwa watoto!
 
oooh my god imeniumiza sana sitaki kuongea neno maana naweza nikapata Ban sasa hivi ;
 
kama unaweza tunakuomba sana msaidieni kiumbe huyu jamani mungu akubaliki ufanikiwe kwa hilo ishu hii kweli mie binafsi imenigusa sana watu wanakosa haki sababu ya ujinga wa watu wachache!
Jamani,nimewahi kushuhudia kesi nyingine tena mbakaji aliachiwa,ndugu wa mbakaji wakawa wanatishi kumuua aliyebakwa,mwishowe familia ikakaa na kumaliza kifamilia.....life is not fair,ntalifikisha TAMWA na TAWLA ila kama file limebadilishwa itakuwa ngumu,kwenye kesi yetu sisi faili lilipotea kabisa,polisi walisema hawalioni......haya mateso jamani,sipati picha huyo mtoto na mama yake wana maumivu na hofu kiasi gani jamani????Mungu awalipe hao polisi na mbakaji sawa sawa na dhambi zao........It hurts aisee...:A S 20::A S 20::A S 20:
 
kama unaweza tunakuomba sana msaidieni kiumbe huyu jamani mungu akubaliki ufanikiwe kwa hilo ishu hii kweli mie binafsi imenigusa sana watu wanakosa haki sababu ya ujinga wa watu wachache!

yani natetemeka..... I hope someone somewhere anasoma haya...
naomba mungu aweke mkono wake ktk familia hii... haki ipate kutendeka.. mmh watu wengine kama hawakuzaliwa?
watu wazima kibao na kama ndio mnajitia mna uwezo si mkanegotiate na wakubwa wenzenu.... mimi ningekuwa mwanasheria i think ningespecialize in these cases only... inaumiza
 
Kwakua kisasi si juu yetu ila ni cha mungu peke sawa na hatuna haki ya kulaani, ila mimi namwambia hivi mungu a dili na wote waloshiriki kumtetea huyo mbakaji, awa hukumu zaidi ya walivyotenda, huyo mbakaji ampe hukumu kali sana. Kakaake na mbakaji na hao mapolisi mungu awa hukumu watoto wao wakike na wakiume wafanyiwe vivo hivyo na mungu awalaani hao wote walo mtetea huyo mbakaji wao na vizazi vyao vijavyo, ninamuomba mungu afanye hivyo kwakua sina haki ya kisasi wala kulaani. Ila ningependa nishuhudie kwa macho mungu alivyowafanyia. Nakama nimemkosea mungu kumwambia hivi anisamehe kwani imeniuma kuliko kawaida.

dua la kuku .....
 
kesi ya utuhumiwa wa ubakaji ina dhamana.kama mshitakiwa katoroka mahakama itatoa kibali cha kukamatwa kwa wadhamini wake na wanatakiwa kulipa kiwango walichosign kwenye hati ya dhamana na wtk huo huo kesi itaendela kama kawaida hata kama mshitakiwa hauypo,asipoonekana kwenye utetezi mahakama itatoa adhabu kama kawaida na atautmikia hiyo adhabu ya kifungo cha masha mara atakapotiwa mikononi kwani ni mtoto chini ya miaka kumi.Kuhusu suala la kutishiwa na nhuyo kaka yake basi polisi pia wafuatilie. Tamwa hapa sidhani kama watahitajika sana kwani tayari kesi ipo mahakamani ni suala la upande wa mashtaka kufanya kila liwezekanalo haki itendeke...
 
Back
Top Bottom