Hivi hili penzi linachakachuliwa ? advice pls | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hili penzi linachakachuliwa ? advice pls

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by FirstLady1, Feb 1, 2011.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Huyu Dada amekuwa ni mwingi wa mawazo akijiuliza maswali yasokuwa na majibu ..na kujikuta anakosa amani
  Ni takribani miezi miwili sasa ,mpenzi ,mchumba ,husband to be wake amekuwa kila mara akimpigia simu katikati ya maongezi yao kila anapotaka kuita jina la huyo dada F,amekuwa akiita jina la dada mwingine kabisa ,Huyu binti kila anapohoji maswali anapewa lugha nzuri ....
  Ooh sorry baby girl ni jina tu limejia ,nashangaa hata mie kwa nini inakuwa hivi lakini akimaliza kuomba msamaha wakianza kuongea tena mara hilo jina ndo linashika hatamu tena!
  Kila akimuhoji mwenzi wake majibu anayopata anazidi kuchanganyikiwa..ila wako katika mchakato wa kuandaa wedding!
  Ila wanakaa mikoa tofauti ingawa mara kwa mara wanaonana!
  Anaomba msaada wenu kimawazo wadau afanye nini,,
  Cause anaamini penye wengi hapaalibiki neno
  Nawakilisha!
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Kashachakachuliwa huyo lohhh mpaka unataja jina la mwingine amekwisha. Nitarudi
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Atafute likizo aende akae kwa huyo husband to be for at least two weeks atajua kama kuna uchakachuaji ama vipi
   
 4. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbona ukweli uko wazi huyo sijui mme ,mchumba,au sijui nani si mwaminifu anachakachua tu bila hata aibu
  Inatisha hakuna ndoa hapo:coffee:
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Wanaume wana mambo DA hapa mie nimeshindwa la klusema nikaona nileta hapa mmsaidie huyu mdada
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ila kuna watu wana siri unaweza maliza hata mwaka lakini yote hayo usiyaone ,
  Asante kwa ushauri mzuri
  Huchoki kucheza wewe?
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Labda hubby to be anachakachua au amechakachuliwa!Inawezekana kabisa kuna mdada mwingine anaetaka huo uchamba ufe kwahiyo kafanya mambo yake...Au kaka anachakachua mpaka anawachanganya!Ajaribu kumchunguza taratibu!
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mkaka anaye alyeijaza moyo na akili yake
  so apo ajiandae ata kat kat ya game anaweza akakosea jna....wewe asha sogea uku bwana ahh kumbe shost anaitwa magdalena...teh teh!!!
  ...ata wakipafom dzain jamaa atakuwa anaVUTA HISIA ZA ASHA ILI APATE STIMU ...akuna kitu bla sababu...angekuwa anakosewa majina tofaut ningeelewa bt daily uyo uyo ahhh pole yake
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ni vizuri kipindi hiki cha 'probation' naye ajaribu kukosea jina, atasoma reaction ya fiancee wake.
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Lizzy kwa hiyo huyo dada mwingine ndo kaamua kuingia kwenye maisha ya huyu Mkaka ?ili avunje haya mahusiano
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahaha Rose1980 kila nikisoma koment zako naanza kucheka kwanza ,
  kwa hiyo hapa moja kwa moja kuna uchakachuzi ?
   
 12. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  "A great marriage is not when the 'perfect couple' come together. It is when an imperfect couple learns to enjoy their differences."
  [​IMG]:angel:[​IMG]

  Kuna ujumbe fulani hapa, kwenye signature yako!
  hebu uangalie vizuri FL1!!!!!
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ndo manake
  we ebu jaribu kutumia akili za darasa la kwanza tu...iweje mtu ATAMKE JINA LA JOHN KILA DK wakat anaongea na ben?
  ni labda uyo ni mdg wake au rafik yake au mpz wake ...UYO JAMAA JINA ANALOLITAJA NDO LA DEMU WAKE...aende akaish kwake b4 awajaendelea vkao vya harusi

  au dada ana hamu sana na ndoa?
  INGEKUWA MIMI PANGECHIMBIKA KWA KWELI...
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Inawezekana mama wa kwanza!Binafsi sidhani kama ni rahisi hivyo kuchanganya majina katika maongezi...tena sio na rafiki mpya useme umesahau jina lake kwahiyo unabahatisha ila mchumba wako kabisa?Ni ngumu kidogo kuamini!
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  ni kweli kuna ka ujumbe lakini mwanzo tu hata mtu hajawekwa ndani hii mambo inaanza je uko ndani kutakalika Bacha?
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  MMH jaman wewe dada amejiingizaje apo?
  ni uyo kaka amemwingza uyo mwngne wakat yupo na bshost ndan...
   
 17. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  duh! rose we bakari nini?
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hapa panaweza kujimbika na ndoa ikavunjwa ...Noted Mbu ushauri wote utamfikia mhusika
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahah Rose1980 Kiboko haya ni majaribu ya maisha ,
  Nitampa ushauri huu huyo dogo aufanyie kazi
  Ila ni ngumu katika hali ya kawaida kusadikika
   
 20. LD

  LD JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Pole yake huyo dada, lakini jamani hakuna kitu kibaya kama kukosa uaminifu,
  na kwa bahati mbaya mtu kama sio mwaminifu ni sio mwaminifu tu.
  Labda mpaka atakapokutana na neema ya Mungu imuokoe.

  Mi namshauri huyo dada asiingalie sana ndoa amuangalie zaidi huyo kaka, apime moyo wake
  kama kweli unaweza kubeba hilo basi aamue kufunga ndoa, kama moyo wake hauwezi bora aachane nae tu,

  Afadhali maumivu atakayoyapata sasa yatapona kuliko kidonda ambacho atakipata akiwa kwenye ndoa, hakiishi na hakiponi milele.
  Afadhali kuacha mchumba, kuliko aje kuitwa mwanamke aliyeachika!!

  Mungu amsaidie katika yote.
   
Loading...