Hivi Mjini Kuna Nini!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Mjini Kuna Nini!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Katavi, Jan 31, 2011.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Jamani huku vijijini kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kukimbia na kwenda mjini kwa kisingizio cha kwenda kutafuta maisha. Lakini sasa imekuwa ni kero kwa baadhi ya vijana wa kiume waliooa kutelekeza wake zao na kwenda kutafuta maisha mjini. Na wengi wao hawarudi kabisa au wakirudi wanakuwa wameoa wake wengine ambao wamewapata mjini. Hii imekuwa ni kero sana maana inasababisha ongezeko la watoto wa mitaani...........
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Bwana wewe mpaka hali itengamae vijijini ni miaka ijayo maana si kuoa wake wengine na kurudi na UKIMWI hoi
   
 3. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wewe mbona uko mjini unafanya nini huko?
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Lakini sijatelekeza mke kijijini.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kama ni kwenda kutafuta maisha basi waondoke na wake zao sio kuwatelekeza vijijini!
   
 6. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapo sasa, na yeye mjini kimemkalisha maisha.
   
 7. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tutajuaje?
   
 8. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa nini naye mwanamke akubali kubaki kijijini?
   
 9. dorin

  dorin Senior Member

  #9
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 29, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanapoenda Mjini hawajui watakuta hali iko vipi?
  Kwahiyo wanaanza kutangulia wao kwanza. Then Baadae wawachukue wake zao.
  Kinachotokea ni kwamba mjini wakishakua na vijisenti wanapata tamaa ya wanawake wa mjini.
  si unajua tena sisi wa mjini tunavyojua kujiweka smart.
  Hapo kwanini mtu asimsahau MATESHA wake kijijini.
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahaah!! Kama maisha yakitulia lazima niwakumbuke wa kijijini.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Niamini.
   
 12. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Maisha ya kijijini magumu jamani tusiwalaumu sana,mtu unalima lakini hakuna kwa kuuza mazao yako na hata ukiyauza hakuna faida yoyote,pia huduma muhimu nazo hakuna,ukienda kwenye zahanati dawa hakuna,unadhani mtu bado atakuwa na mawazo ya kuendelea kukaa kijijini?
  Hata sisi wa mjini nasi tunatamani kwenda sehemu nyingine zilizoendelea zaidi kwa ajili ya kutafuta maisha bora haijalishi unayapata vipi au unafanya nini.
  Mengine ni udhaifu wa mtu binafsi.
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Wengi wanaambiwa kuwa mwanaume anaenda kuandaa mazingira na baada ya muda atamfuata, lakini mambo yakimnyookea na akiona mabinti wa mjini, anasahau kijijini!
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Wawe wanaondoka na wake zao basi, maana wengine wanaacha mke na watoto wanataabika kijijini hata matumizi hawatumi.
   
 15. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 875
  Trophy Points: 280
  Mbunge wangu yupo huko yapata miaka minne nilimwona mara ya mwisho Kijijini akiwa kwenye kampeni akijinadi na kutaka Kura yangu!
  Amepata Uongozi sasa na Familia kaihamishia huko mjini!
  Ile nyumba yake aliyokuwa anaijenga kijijinihaitaki tena anasema amepata kiwanja (Open Space) Pale Masaki hivyo atasimamisha mjengo huko!
  Watoto wake tuliokuwa tunasoma nao pale Shule ya msingi Mchungwani wamehamishiwa International school kule kenya!!
  Anasema hatarudi mjini na sasa kwani yupo busy na Viongozi wenzie kuangalia namna ya kujenga flying Over hapo Mjini Dsm!!! Bora Nije nikae huko alipo mbunge wangu aliyepata madaraka baada ya kura yangu kumchagua!...... NISIJE MJINI WAKATI KIONGOZI WANGU YUPO HUKO MWAKA WA 4 SASA? HAINIINGII AKILINI NAKUJA HUKO HUKO MJINI!!!
   
 16. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #16
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  bora mie niko kijijini.......
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kijiji gani!!!! Boko au Bunju!!!!
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hao wanasiasa ndio wanatia kichefuchefu kabisa..
   
 19. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #19
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unacheki sasa katavi eeh, hata wao wana hope hiyo hiyo, na wakiaga kijijini huwa wanasema naenda kutafuta maisha, yakitulia ntawafuata tukaishi wote huko.
   
 20. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #20
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ok nimekuamini.
   
Loading...