Salamu kwenu wadau wote wa stress-free forum (mmu),
kuna kipindi huwa tunahisi kuwachoka wake/waume au wapenzi wetu.
Inasemekana kuwa katika kila mwaka lazima uexperience hiyo hali lakini huwa...
Biggest turn-offs for women (KAMA HUTAKI KUMWAGWA MSAADA HUO)
Talking to our boobs Er hello? Our eyes are up here you know.
Filthy bathrooms and toilets if youre going to invite us...
Natafuta marafiki wa kike TU ONLY!Regardless of dini,kabila,kipato etc..BUT aliyepevuka.
I've been analysing myself nikaja kugundua ya kuwa kuna kitu nina miss, nacho ni marafiki wa...
Jamani . . .
Leo nimejisikia kupost ka wimbo ka kilugha kabila fulani hivi, wanapenda kukaimba wakati wa sherehe hasa harusi na sendoff . . . .
Yaani wanavyocheza wananiburudisha kweli mpaka...
Nawasalimuni nyote ndugu zangu!!
All about Ave ni tamthilia ambayo hurushwa na star tv, imejaa visa, mapenzi na usaliti!! imeigizwa na wasanii mahiri na kila mmoja akiicheza vema sehemu yake...
Kikweli ninawasoma japo kijuujuu katika mabandiko yenu. Kuna tatizo nimegundua. Mnahusudu sana kutafutwa wakati shida ni yako. Mbona kuna mabandiko ya wanaume wakitaka wenza hamuwatafuti mnasubiri...
Hii safu bwana inamambo na vijimambo kibao.Hii sio story ila niliipata kwenye primary source.
Unanjua nini?kuna watu bwana especially wanaume flani flani hawawezi kusafiri mbali na wapenzi wao...
Waliweza kufurahikia uzawa wako baada ya kuwafikia ukiwa salama. Ndipo hapo majukumu yaliyokuwa yanawakabili yalipowaongezekea. Hata hivyo waliweza kuweka azama ya kutaka kukufanyia yaliyo bora...
msomaji wa safu hii , umri wangu umeenda sasa,
ninahitaji mpenzi wa kweli na baadaye awe mke , elimu kidato cha nne hadi chuo
mwenye sifa hii anakaribishwa , ila awe msichana mrefu, asiwe...
Kwa wadada wenzangu....wanasema experience is the best teacher....leo tu share experience na tupeane ushauri......
Wengi wetu tutakuwa tumekutana na wanaume ambao mimi ninawaita wanaume malengo...
I had a guy ambae alikuwa anapenda jambo moja zaidi katika mahusiano, so nikawa namwambia "stop being a bad man" akawa hanielewi, akasema yeye ni good man. Baadae nikapata neno nikawa namwambia...
Wana JF leo asubuhi nimeshudia kisa kimoja, Jirani yangu mpangaji mwenzangu ambeye ni Nesi amevamiwa na mke wa mfanyabisha mmoja na kufanyiwa Vurugu kwa kuambiwa "toka we malaya nikushikishe...
Wawili wanaoitwa wapendanao wameoana kwa sherehe na vifijo,sasa mmoja au wote wanatoka nje ya ndoa.Swali kwa nini watoke nje ya ndoa?Wamechokana au kuna tatizo baina yao?Ndo watoke nje ya...
Mara nyingi hua inatokea kwamba watu wanaona/chukulia vitu zaidi ya vilivyo (READING TOO MUCH INTO SOMETHING).
Kwenye mapenzi mara nyingi tunalalamika ''nilidhani ananipenda sasa inakuaje...
Ndugu zanguni na marafiki kwa ujumla.
Sisi ni ndugu na marafiki wa siku nyingi. Tusikubali kuchukiana kwa sababu yoyote ile hasa hasa ushabiki wa mpira. Tuwe tunapongezana na kufarijiana katika...
Habari ya weekend ndugu zangu na wana jamii forum popote mlipo.Naamini weekend mmeitumia ipasavyo.
Napenda kuchukua fulsa hii kuleta mbele yenu nafasi hii ya uwekezaji kwa kina...
DAH, Katika pita pita zangu nimegundua kuwa wanawake ambao wanaishi maisha ambayo baba ayupo I mean wale wenye maisha ya kubahatisha utakuta kamaliza four yupo yupo ajielewi anakuwa malaya sana...
Napenda nichukue fursa hii kuwaomba kina baba ambao tumekula chumvi ya kutosha (Kyabushaija et al) mara kwa mara tuwe tunawapa hint vijana wa kiume wadau wa MMU ili mbele ya safari yasijewakuta...
Wakuu, japo wanaume wengi tunapenda wasichana ambao ni bikra ila ukweli ni kwamba tunapata adhabu kubwa sana kwenye utoaji wa hii kitu. Mimi niling'olewa jino nilipokuwa napeleka mtalimbo. je wewe...