Wanawake mnaionaje hii???????????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake mnaionaje hii????????????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by charger, Mar 6, 2011.

 1. charger

  charger JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Habari ya weekend ndugu zangu na wana jamii forum popote mlipo.Naamini weekend mmeitumia ipasavyo.

  Napenda kuchukua fulsa hii kuleta mbele yenu nafasi hii ya uwekezaji kwa kina dada/mama.Tukiachana na zile biashara ambazo huwa zinaleta taswira mbaya kwa jamii ambazo sina haja kuzitaja,zipo fulsa nyingine halali zinazidi kujitokeza,kama uuzaji wa nywele kama wenzetu wa asia kule.Katika pitapita nikaona na hii nikaona si mbaya kuwashirikisha.

  Ice-cream made of human milk on sale.By IB Times Staff Reporter

  A restaurant in London is selling ice cream made with breast milk donated by a British mom to make the "totally natural" treat.
  The Icecreamists parlor is pricing the new flavor, which is named "Baby Gaga", at 14 pounds ($23). The new recipe blends the breast milk with Madagascan vanilla pods and lemon zest, which is then freshly churned into ice cream.
   
 2. CPU

  CPU JF Gold Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Full Uchafu, full kinyaa
  Na kama huyo anaemwagia maziwa yake ana ugonjwa wa ngozi au vidonda au kansa, au matatizo ya kiafya yanayohusisha hadi kwenye damu yake ndo anakuwa SILENT HUMAN KILLER
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  No way ndo mwanzo wa kuambukizana magonjwa ya ajabu!!! mafisadi wanatutosha bongo!
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Heee! Jamani na magonjwa yote haya.
   
 5. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mbna zimepgwa marufuku.
   
 6. charger

  charger JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Jamani CPU hata mie nilikua kama nimestuka but nikahisi labda ni maendeleo mi mshamba.

   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  uuuh yuk......ptuuu
   
 8. charger

  charger JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mmhh! kweli duniani kuna mabo
   
 9. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  halaf naskia ukidonate milki ile askrimu inaandikwa made in husninyo. heheh niwekee askrimu mbili, nakuja dodoma b4 easter. ole wako uzime simu
   
 10. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hata ng'ombe nao wale wa kizungu ambao ndio tunakunywa maziwa yao wana maradhi kibao na vile vimanyoa vinavyopenya kwenye maziwa yale pia yanaleta athma na kifua kwa watoto kwa sana tu, kwa hiyo kila kitu kina mazuri na mabaya yake.Ila sasa namna ya kuyapeleka huko ni ishu. hii huku kwetu haiwezekani
   
 11. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tafta mwananchi la leo .
   
 12. CPU

  CPU JF Gold Member

  #12
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ha ha ha ha ha ha ha ah
   
 13. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Shem huyo wa IDODOMYA NI NAN JAMAN TUJUANE HAHSHAHAHAHAH
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mashallah,hzo ice cream dah
   
 15. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,138
  Trophy Points: 280
  Duhh, hii ya Dodoma, na kule nnapokuja over the weekend, imekaaje?
   
 16. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  basi kuna watu washatamani! mnh....:A S 13:
   
 17. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mhhhhh!!!!!!
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,138
  Trophy Points: 280
  Mbona kuna watu wanayanywa live kutoka source bila hili wala lile na hakuna noma?
   
 19. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  mnalalamika mnakandamizwa, mara sjui hakuna ajira . sasa zali la askrimu limekuja mnaanza kujigonga gonga. mimi naomba mniinkludi kwenye wateja wa hii askrimu. na ikibidi katika zoezi la ukamuaji pia nitashiriki.
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha! Mwanaume umepinda wewe..lol!
  Njo, na mimi uniletee chochote kilichokuwa made in klorokwin.
   
Loading...