Kwa kuwa Mvua imenyesha......Poleni watani zetu!

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,358
Ndugu zanguni na marafiki kwa ujumla.

Sisi ni ndugu na marafiki wa siku nyingi. Tusikubali kuchukiana kwa sababu yoyote ile hasa hasa ushabiki wa mpira. Tuwe tunapongezana na kufarijiana katika michezo.... Watu wa MMU tuonyeshe upendo hata kwenye michezo.

Kama kawaida mvua ikinyesha watani zangu wa Jangwani huwa wanakoga bila hiyari. Na tayari imeshanyesha! Neema hiii!

Kwa kuonyesha mfano nawafariji ndugu zangu wa mtaa wa pili. Poleni sana wana wa Jangwani.....Makapteni Kaizer na Fidel80 na ndugu zenu wote. Tuko pamoja jamani.

Teamo, MTM, St RR na crew nzima ya Msimbazi, tukutane Fairway saa kumi na mbili jioni tuwafariji hawa ndugu zetu wa Yanga kwa Red Label, Valuu, Kesto za Kopo na Serengeti!

Sisi Simba ni Washindi, Sisi Simba ni Waungwana.
Karibuni Msimbazi tule Pilau.
 
Na jinsi mlivyokuwa hamna maana nyie simba mnaongea sana hata kabla ya mchezo wenyewe,mvua ni nini ndugu.......mpira ni DK 90,hakuna sababu ya mvua wala nini,hapo kichapo mtakipokea hata kama mvua imenyesha....YANGA MBELE KWA MBELE
 
Masikini Runner..! amekugusa ee, haya tusuburi hizo 90 min.
 
Ndugu zanguni na marafiki kwa ujumla.

Sisi ni ndugu na marafiki wa siku nyingi. Tusikubali kuchukiana kwa sababu yoyote ile hasa hasa ushabiki wa mpira. Tuwe tunapongezana na kufarijiana katika michezo.... Watu wa MMU tuonyeshe upendo hata kwenye michezo.

Kama kawaida mvua ikinyesha watani zangu wa Jangwani huwa wanakoga bila hiyari. Na tayari imeshanyesha! Neema hiii!

Kwa kuonyesha mfano nawafariji ndugu zangu wa mtaa wa pili. Poleni sana wana wa Jangwani.....Makapteni Kaizer na Fidel80 na ndugu zenu wote. Tuko pamoja jamani.

Teamo, MTM, St RR na crew nzima ya Msimbazi, tukutane Fairway saa kumi na mbili jioni tuwafariji hawa ndugu zetu wa Yanga kwa Red Label, Valuu, Kesto za Kopo na Serengeti!

Sisi Simba ni Washindi, Sisi Simba ni Waungwana.
Karibuni Msimbazi tule Pilau.

Refa yule ni Yanga damu sina imani nae
 
Refa yule ni Yanga damu sina imani nae

Yaani soka la Bongo liko hivi . . . .
Hao TP Mazembe wamesema watachezesha kikosi B tena cha wanawake ndio kitakuwa saizi yenu
 
Mpira wa bongo unachezwa mdomoni tu na kwenye magazeti, ukienda uwanjani utadhani timu za UMISSETA!
Tena hao wote Simba na Yanga ndio kabisaaa, sifuri!
 
Simba makopo Simba makopo...Yanga imara Yanga imara!!Najikumbushia tulivyokua tunaimba zamani!YANGA DAIMA!
 
Kuna msemo unasema UKIONA SIMBA YUKO KIMYA.....UJUE GONJWA HIYO.....l.o.l!!!!
 
Yaani nilikuwa nalala nimeona nichangie. Hivi kumbe bado kuna mpira wa simba na yanga? Nani kashinda sasa? Mie nilikuwa mshabiki wa simba zamani. Wakati ule unachezwa zanzibar usiku kwenye taa ilikuwa poa kweli hamlali mpaka mjue mshindi
 
Dena mpenzi penda chako na wenzako ndio watakipenda,hata kama ni kibaya au hakina mafanikio ,usipokipenda hata na wengine wala hawatajishughulisha nacho. zamani taa zenji sasa hivi dar liuwanja hilo kubwaa na mataa yapo pia
 
Simba bana, waongeaji wakubwa nje ya uwanja, dimbani mabubu
 
Back
Top Bottom