Looking for female friends tu only !!

sweetdada

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
517
169
Natafuta marafiki wa kike TU ONLY!Regardless of dini,kabila,kipato etc..BUT aliyepevuka.

I've been analysing myself nikaja kugundua ya kuwa kuna kitu nina miss, nacho ni marafiki wa kike.nimekuwa na marafiki wengi lakini almost wote ni wa kiume sometimes hata nikitaka kwenda out with my girls najikuta peke yangu na hao wanaume tu.
 
Nahisi hapo kwenye kupevuka utaleta maswali mengi sana toka kwa wachangiaji maana neno limekaa kimashakamashaka.
Kwa hakika utawapata ila je na wewe umepevuka?
 
Natafuta marafiki wa kike TU ONLY!Regardless of dini,kabila,kipato etc..BUT aliyepevuka.

I've been analysing myself nikaja kugundua ya kuwa kuna kitu nina miss, nacho ni marafiki wa kike.nimekuwa na marafiki wengi lakini almost wote ni wa kiume sometimes hata nikitaka kwenda out with my girls najikuta peke yangu na hao wanaume tu.

Nakushauri uwe unakuja ktk meeting ambazo wana JF wanakutana utawapata wengi.
 
Tatizo unataka female friends tu ONLY sasa hivyo vikao na midume huwa tunakuwepo!

lol...itabidi niwa IGNORE vidume kwa wakati huo ili nipate FEMALES tu,mana mkakati hapa ni kumaintain vidume waliopo sasa na kuincrease females.:wink2:
 
Natafuta marafiki wa kike TU ONLY!Regardless of dini,kabila,kipato etc..BUT aliyepevuka.

I've been analysing myself nikaja kugundua ya kuwa kuna kitu nina miss, nacho ni marafiki wa kike.nimekuwa na marafiki wengi lakini almost wote ni wa kiume sometimes hata nikitaka kwenda out with my girls najikuta peke yangu na hao wanaume tu.

Unataka muwe mnamegana duh???
 
CPU hebu ni-highlight kuhusu hizo meeting..zinakuwaga wapi na wakati gani?

Babu Asprin ndio muaandaaji wa hizo meeting, huyo Michelle ni mke wa mtu urafiki wenu utaishia humuhumu JF. Akipata nafasi ya out anatoka na mumewe, kutoka na mashoga mpaka siku ya kicheni pati.
 
Unataka muwe mnamegana duh???

watu wengine bwana,yani huna lingine la kuwaza zaidi ya hilo?kwani kuwa na rafiki wa jinsia moja ni kumegana tu
ina maana we huna marafiki wa kiume sio?mxii
 
Mi sina rafiki wa kiume nina marafiki wa kike tu
 
Back
Top Bottom