Wako yukoje?

herrypeter1

JF-Expert Member
Jan 17, 2009
223
29
DAH, Katika pita pita zangu nimegundua kuwa wanawake ambao wanaishi maisha ambayo baba ayupo I mean wale wenye maisha ya kubahatisha utakuta kamaliza four yupo yupo ajielewi anakuwa malaya sana,
Kuna kisa kimoja ambacho kimetokea mtaani demu mmoja alikuwa na washkaji kama wanne na kila jamaa anamjua kwa jina lake, so imekuja kugundulika kwamba kati ya ao alio nao wawili wanafaamiana katika kuongea uku na uku wakaja gundua wa date demu mmoja, so jamaa kumfuata uyo dem na kumuanzishia zali..............
But swali la msingi ivi kwa nini mabinti wa siku izi wamekuwa malaya sana na msemo wao wa siku IZI MJINI MIPANGO? JE wako yukoje chunguza ujue je ni kama awa wa MJINI MIPANGO.
 
Tayari umeshasema ndivyo anavyopata kula yake alafu unauliza tena?
 
Oohoo nani alikwambia ka baba hayupo
mwanMke anaishi maisha ya kubahatisha?

Mmhhh kujibu swali lako huyo si malaya
kwani sijaona mahali umesema anapokea fedha
kwa service anayotoa...

More like sex experience..
 
Oohoo nani alikwambia ka baba hayupo
mwanMke anaishi maisha ya kubahatisha?

Mmhhh kujibu swali lako huyo si malaya
kwani sijaona mahali umesema anapokea fedha
kwa service anayotoa...

More like sex experience..
 
Sijakuelewa hiyo four imehusikaje hapo? Kwani hakuna watu wenye tabia mbaya vyuo vikuu? Au hukuwahi kuona ulivokua chuo? (2)Na baba hayupo manaake nini, analelewa na mama tu au? kwani wangapi wamelelewa na single parent na wanaongoza kwa maadili mema? Wewe labda uko miongoni mwa hao walodanganywa majina.
 
DAH, Katika pita pita zangu nimegundua kuwa wanawake ambao wanaishi maisha ambayo baba ayupo I mean wale wenye maisha ya kubahatisha

sijapenda hiyo kauli. Kwani baba akiwa hayupo inamaanisha maisha ndio ya kubahatisha?! Mbona tupo wengine hatujui hata upendo wa baba unafananaje ila maisha yanasonga kama kawa.
 
Kwani baba ndio uhakika wa maisha au tabia nzuri?mbona kuna watu wanalelewa na wazazi wote na maisha yao si ya kubahatisha still wanatabia chafu?Suala si mabinti wa siku hizi ungeuliza vizuri zaidi kwani umalaya anafanya na miti?
 
It takes two to tango. Umalaya unapofanyika wasilaumiwe wahusika wa jinsi moja tu.
 
Baadhi ya wanawake single wanakuwa wapole sana kwa watoto wao hata wakikosea utakuta hawawakaripii sababu ya huruma kwamba wale watoto watajisikia vibaya, na ile kuwaona wame suffer so much bila baba, hii ndio inakuja kuwacost watoto wakikua kama wasichana wakichagua njia mbaya ya maisha ndio wanakuwa hivyo na wale wa kiume utakuta ndio kabisa,Watoto wakati wanakuwa huwa wana tabia ya kumuogopa sana baba,ila kuna watoto wamelelewa na single mother lakini wako vizuri na wana heshima sana kupita hata wale wenye wazazi wote wawili.
Wamama wanaolea watoto peke yao na hisi wanatakiwa kuwapeleka sana watoto wao kwenye sehemu za ibada siku za kuabudu, wakristo wawapeleke kanisani na waislam wawapeleke madrass na miskitini kule watakua huku wakiwa na hofu ya Mungu na malezi bora hata kama hawana wazazi wote Mungu anachukua ile sehemu iliyobaki na kuwa mzazi wa pili hapo mambo yote yatakuwa mazuri.

Kujibu swali lako kwa nini mabinti wa siku hizi kuwa hivyo, nakwambia umalaya wa mtu hautegemei mtoto huyo hana baba au hana mama siku hizi hata aliyekuwa nakila kitu anakuwa hivyo, na sio mabinti tu hata wakaka siku hizi nao wako juu kwenye nyanja hiyo. Hivi kijana,halafu nimfanyakazi au ambae hata hafanyi anajiingiza kwenye uhusiano na mmama mtu mzima halafu anaanza kupigapiga mizinga ya hapa na pale huo sio umalaya? Na hawa wanamusic wanatafuda wadada wenye uwezo ili wawape maisha bora halafu wakiachwa wanapiga makelele hawa nao ni wasichana?Kwa hiyo maadili yamekuwa mabaya kwa pande zote sio tu wadada tu.Umenipata Herry
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom