Unapohisi umemchoka mpenzi wako. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unapohisi umemchoka mpenzi wako.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Husninyo, Mar 7, 2011.

 1. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Salamu kwenu wadau wote wa stress-free forum (mmu),
  kuna kipindi huwa tunahisi kuwachoka wake/waume au wapenzi wetu.
  Inasemekana kuwa katika kila mwaka lazima uexperience hiyo hali lakini huwa haidumu muda mrefu.
  Katika hicho kipindi mpenzi wako hata afanye jambo zuri huwa unahisi anakuboa yaani humfurahii na ni kipindi hicho ambacho uhusiano ni rahisi kuvunjika iwapo mmoja hatakuwa imara kuusimamia na mara nyingi kipindi hicho mpango wa kando hutafutwa.
  Nafikiri wadau wote humu tushawahi kuwa na wapenzi/tunao/tumeoa au tumeolewa.
  Naombeni mawazo yenu hapo.
  Je ulipohisi kumchoka mpenzi wako ulifanya?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unachoweza kufanya ni kuweka distance kidogo ili usione anakuboa muda wote maana utakapozidi kumsukuma itafika mahali na yeye ataboreka alafu kila kitu kiharibike....which is not good!!!
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  vipi kwa wale wanandoa.

  Unapendekeza wapeane likizo?
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hiyo kweli kabisa Hus. Kulala kila 24/7 inachosha bana uvumilivu tu ndo hutakiwa.
  Tuna afadhali kidogo angalau tunasafiri safiri vijijini inapunguza maudhi
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ni vizuri katika hali kama hiyo kuvumiliana maana ukimu-ignore mwenzi wako ndio mwanzo wa kuanza kutafuta mambo mengine na visingizio kadha wa kadha jaribu kutafuta vacation somewhere pamoja na yeye au outing somewhere outside the city
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nimekusoma dena.
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sio kujilazimisha kuvumilia hiyo inakuja pamoja na nyie wawili kukaa chini na kumueleza mwenzake what are you feeling at that time kama ni muelewa atakuelewa vizuri ukikaa kimya tu hata kama ni mimi sitokuelewa its good to tell each other if your not in the mood or your not okay itamsaidia mwenzako walau atajitahidi kutafuta something that will cheer you up.
   
 8. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  According to facebook status updates, break ups happen mostly around spring breaks and the months leading up to Christmas.

  [​IMG]
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ni vipi utaenjoy wakati ushamchoka?
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nimekusoma TF.
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  what might be the reason?
   
 12. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kitu muhimu kama unatambua hiyo hali, cha kwanza kabisa na muhimu ni KUVUMILIA kwa kuwa unatambua kuwa hiyo hali hiyo ni ya muda tu na itaisha. Lakini kwenda sehemu tofauti kabisa ikiwezekana hata nje ya mji, mkoa n.k, itasaidia, kufanya jambo tofauti kabisa na kujiepusha na ugomvi usio na maana kutasaidia. Narudia kusisitiza kuwa muhimu ni kutambua kuwa ile hali ni ya kupita. Mara nyingine hata tunapoumwa na magonjwa au maumivu mengine, tunategemea tutapona kwa hiyo tunavumilia tu. Na ndiyo maisha, sio mara zote utakuwa mwenye furaha. Kuna siku tutakuwa tofauti, inakubalika.
   
 13. kobonde

  kobonde Senior Member

  #13
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huwa najitahidi kwa kila Hali kuiepuka,naikitokea naweka mambo sawa muda huohuo. Ila kwa wanaume hili ni gumu na ndio husababisha kipindi hike kutokea kwani ni wazito kusawazisha mambo au huligeuza kosa kwa mwanamke na hapo ndipo kipindi kigumu hutokea.
   
 14. M

  Marytina JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  siweki neno kwenye hii sredi.

  KUMCHOKA?looh !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! sasa si ujaribu pembeni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!hapa mnaleta utani wandugu
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sometimes mazingira pia yanachangia just imagine kila siku unaamka asubuhi unaeenda kazini unarudi jioni unakula unaangalia TV unaenda kulala, the next day same routine karibia mwaka mzima hamujawahi kwenda mbali zaidi ya hiyo nyumba mnayoishi zaidi ya kwenye harusi na kumbi starehe which is the same routine ya weekend.

  If you decide to go out of the city a place where it is quite mkabadilisha mazingira it helps siku mkirudi nyumbani mnakuwa fresh inakuwa as if mmekutana jana but all this it depends watu na watu kuna wengine wagumu kama TANGA CEMENT
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ni vizuri tukisikia unaepuka vipi.
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mmmh marytina!!
   
 18. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  ukimchoka unaenda kwa kidumu unapunguza stress then unarudi kwako mambo yanakuwa sadwata!
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tujifunze kuwa wavumilivu na jinsi gani ya kuepuka hali kama hiyo ikikukuta
   
 20. LD

  LD JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Dah,
  Nahisi ikinitokea nitatafuta safari niende nikae wiki halafu nirudi,
  Sema ndo mpaka hiyo safari ieleweke ni safari ya jinsi gani, manake unawenza ukaliazisha lingine.
   
Loading...