Jamani acheni mzaha!

Wandugu mimi nimejitokeza kutafuta mchumba kwny safu hii nikiwa na nia ya dhati, lakini wengine munachukulia masikhara! Acheni basi mzaha. Kwa anayedhani yuko serious tuchat kwa 0752 539979.

Ndugu, kumbuka kwenye msafara wa mamba hata mijusi wamo
Na hata hapa watakuja pia
Jaribu kuwa mvumilivu
 
kuna mtu amehoji wanaotafuta wachumba humu huwa wanapata,nadhani lilikuwa swali la msingi...ipitie hio thread:A S 13:
 
Wandugu mimi nimejitokeza kutafuta mchumba kwny safu hii nikiwa na nia ya dhati, lakini wengine munachukulia masikhara! Acheni basi mzaha. Kwa anayedhani yuko serious tuchat kwa 0752 539979.
MCHART?!!!?!??????????bro mbna wawa kama watafta RAFK????? Anatakiwa apge kama kuchart utachart na wangap???????
 
Weka jina halisi,mahali unapoishi na picha mbili tatu hivi,hapo utaonyesha umedhamiria.otherwise mle mle tu.
 
mkuu hapo no.....nahisi kama unajitou mhanga.....yaani through phone upate mchumba?
 
hata kwa maneno yako tu unaonekana hauko serious!! mwisho wa siku utabipiwa alafu utapiga utaulizwa " nikusaidie nini" utakuja hapa na thread nyingine ukiwa umenuna na mwenye hasira tele!!!!
 
uhitaji umekuwa mkubwa sasa inabidi forum ya searching people iwepo ili wakutane huko kwa urahisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom