Kwa madada mnaotafuta mahusiano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa madada mnaotafuta mahusiano

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Raia Fulani, Mar 6, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kikweli ninawasoma japo kijuujuu katika mabandiko yenu. Kuna tatizo nimegundua. Mnahusudu sana kutafutwa wakati shida ni yako. Mbona kuna mabandiko ya wanaume wakitaka wenza hamuwatafuti mnasubiri kubandika nyie ili mtafutwe? Nina mfano mdogo humu. Nilibandika tangazo langu nikaweka na namba. Binti anabip. Baadae unapiga halafu ktk maongezi anasema nikusaidie nini. What the f***k! Tunaongea ukweli tu. Una shida jilegeze. Hata hao ambao nimeshaona mabandiko yao (sija apply. Yupo bed tayari ananisubiri) pamoja na mahitaji yao bado wataleta usumbufu usio lazima. Someni tu lkn si muhimu kuchangia
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  :rain::rain::rain:
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Maskini wa Mungu....unatia huruma....you are too bitter and angry.........kakuambia nani hatuwatafuti wanaoweka vigezo vinavyoeleweka?....wewe hawakuku-PM manake vigezo vyako havikuwavutia....wanaweka kwa kuwa watu kama wewe hamkuwavutia so pengine wanaweza vutiwa na wengine......wenye vigezo mbona wanafunga account kwa PM....mwenzangu wanakuona hufai ndo maana wanakupotezea

  ...unaposema pamoja na mahitaji 'yao'.....wewe nae si una hitaji ndo maana ukawapigia simu? iweje iwe ni mahitaji yao na si yenu? unapoulizwa usaidiwe nini.....ina maana hauko straightforward au yuko busy na wewe unaleta porojo.....kazi kweli kweli!!!!!
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  :bathbaby:
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ukimaliza uniambie.....
   
 6. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Mie nimesoma tuu, kweli inauma mtu umebandika tangazo hafu watu hawajitoi, LOL...unafikiri kwasababu mtu unahitaji mtu basi ni kila abandikaye tangazo wajitokeza? pole sana man, lakini pia ujue humu ndani kuna wanawake feki wanoomba parteners. do not give hope they will come.
   
 7. Lugovoy

  Lugovoy JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Mmhh pretta hiyo animation kwenye post yako nimeikubali!!
   
 8. N

  Nothing4good Senior Member

  #8
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sio wadada2 hata wakaka mnaweka thead 2ki PM HAMJIBU 2we serious bana!!!!!
   
 9. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  [​IMG] :A S 13::A S 13:
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mashalobaro mmeshtukiwa kila mtu anawakimbia...l.o.l
   
 11. Lugovoy

  Lugovoy JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  akimaliza nn
   
 12. s

  shosti JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahahhahhh du:wink2:
   
 13. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Pole sana RF.....

  Hapo kwenye RED....kwa mila zetu za kiafrika, mwanaume ndo anamuanza mwanamke.....kwahiyo usishangae!
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Duh!!Umekua mkali!!Sasa si anabip kwasababu hana credit???Alafu anakuuliza akusaidie nini ili umwambie hitaji lako mwenyewe uskite JF ulikua unatania!!!!
   
 15. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nafikiri ameelewa....
   
 16. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe usharudi loliondo?
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ndio...nimeacha kabisa ARV
   
 18. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nahisi huyu kaka RF is in bitter war with wadada wa JF ,ngoja tujipange na sie fita ni fita muraaaaaaaaaaaaaa!:wink2:
   
 19. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  heheeh dah! sasa kwanini raia fulani unambeep halaf unamuuliza umsaidie nini? sio fair ujue
   
 20. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  nikimaliza nitakujulisha tuje tule:popcorn:
   
Loading...