Ninaweza kupata mpenzi wa kweli kupitia safu hii?????????????????????????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninaweza kupata mpenzi wa kweli kupitia safu hii??????????????????????????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mbinayamaswa, Mar 6, 2011.

 1. m

  mbinayamaswa Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msomaji wa safu hii , umri wangu umeenda sasa,
  ninahitaji mpenzi wa kweli na baadaye awe mke , elimu kidato cha nne hadi chuo
  mwenye sifa hii anakaribishwa , ila awe msichana mrefu, asiwe mnene sanaaaaaaaaaa
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  MOD tunaomba jukwaa la kutafuta wapenzi, wake, waume nk. Naona demand imekuwa kubwa mno.
   
 3. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nakutakia kila la heri.... ila ungeweka na sifa zako, ingewasaidia applicants!
   
 4. CPU

  CPU JF Gold Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tena iwe Sub-Forum, yaani ndani ya jukwaa hili la MMU
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  unaweza kumpata lakini ungejieleza kidogo.......maana kila mtu ana vigezo vyake.....huwezi jua
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Unaweza kupata wawekee japo cv yako basi wenye nia wajitokeze
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  demand kubwa kuliko supply. Na wenyewe hata hawasomi alama za nyakati.
   
 8. CPU

  CPU JF Gold Member

  #8
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kijana, wadada hao wawili tayari wanasubili sifa zako
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  bora umfundishe kusoma alama za nyakati
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mnh kwa kweeeli watafuta wachumba humu ndani sasa mnatuzidi nguvu na sredi zenu yaani zimekua nyiiiingi hadi keeeero
   
 11. CPU

  CPU JF Gold Member

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mtu mwenyewe kazubaa
   
 12. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu hapa hupati mtu labda wakufanye mme wa pili.yani watakao-reply ni walewale Lizzy & co.
  Umri umeenda ulikuwa wapi kipindi chote hiko?
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Duh!!!MAKUBWA!!!!!!
   
 14. k

  kisukari JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  aaah,kipindupindu usimkatishe tamaa,atampata tuu.jf ina ma single wengi,na kila mara watu wanatafuta wachumba humu.mkipata muwe mnatupa matokeo,na sisi mtupe nguvu.sio mtu unatafuta mchumba,mara kimyaaa,hujui kama amefanikiwa au hajafanikiwa
   
 15. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ukiona kimya ujue mambo tayari si unajua tena kibongobongo
   
 16. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duu huyu jamaa anatangaza kazi au anatafuta mamsapu :A S 13:!!!!
   
Loading...