Ila wanawakeee hahahaha....

Ila wanawakeee hahahaha....

Screenshot_20260620-233248.png

Hapa ulinunua viwanja viwili kibaha milion 12 🤣
 
Habari za muda huu admn! Naomba unipostie ila ficha utambulisho wangu! Ipo hiv mm ni mwanamke nmeolewa ndoa ya catholic tangu mwaka 2015, Mungu ametujaalia watoto wa 2 kike na kiume wakwanza n binti anamiaka 7 mwaka huu na mwingne anamiaka 4 kilichoniteta hukunn ushauri wenu maana huenda nakosea ila sielewi! Mimi n mwajiriwa serikalin ajira ambayo nimepata mwaka huu mwez januari na nimepangwa halmashauri moja mjini Njombe mimi n afisa mipango! Kiukweli mume wangu mm n wa njombe na yeye n mwalimu wa sekondari anaishi mwanza! Sasa kiukweli mume wangu ndie aliyenisomesha na amekuwa na mm bega kwa bega had nkapata hii kazi hakuwah kuniacha kwenye mlharakat zabgu na siku zote ametaman niajiriwe serikalin maana hata kabla ya kupata hii kazi alihangaika sana kwa baadhi ya watu nipate kazi but Mungu n mwema nilifanya usahili utumishi wa umma na Mungu mwaka huu alinionekania alinleta had njombe kuripot kazin akaninunulia fanicha za kuanzia maisha ila sasa kiukweli naomba msiniseme kwa ubaya ila tangu hapo nyuma kabla kupata kazi alikuwa anahudumia familia vzr tu hata mm ananihudumia vzr kila.kitu shida n ana masimango jmn sijui ndo asili wa wabena yaan n mtu atakutukana na kukusimangia had chakula yaan hata akikununulia chupi sku akiwa na kisiran ataongea yote na n mtu labda mmegombana mkaduluhsha yakaisha siku mkigombana tena n atakumbushia yote yaan had kumpiga ananipga jmn ila sijawah kwenda kwetu hata siku moja nilikuwa navumilia tu maana nlijua yana mwisho! Sasa tangu nije huku njombe n kwao lakin sikai kwao maana mm ofis njin na wao n kijijin ndanimdani so nakaa mjin na watoto amebaki nao mwanza amenambia hawez kunipa watoto atabaki nao na wanaenda shule vzr tu maana anakaa na shangazi yake so watoto hawana sghida wapo vzr tu! Shida ipo iv kwanza
1. Nina kinyongo sana na mume wangu
2. N mtu ambaye kiukweli swala la maendeleo.kwake halimuwazishi yaan ameanza kaz mda mrefu ila hatak kujenga maana kiwanja tunacho ma tulianza msingi
3. Amekuwa akiniambia kwamba sasa hv namzarau naona sio level zangu et sababu nmepata kazi
4. Ameniambia atanitafutia vibaka waniue
5. Hatanipa watoto sababu watoto wake wanapata kila.kitu hawaba shida yeyote hapo nilimuomba likizo hii niwachukue then niwarudishe tu
Haya maneno ameniambia sababu kutokana na kinyongo cha matendo mabaya aliyokuwa akiniambia kiukweli sina hata hamu naye yaan sijiskii hata kurud kwake siomkwamba nina.mwanaume mwingne ila.n matendo yake yamejilimbikiza moyon so naona hata bila yeye nina furaha sana. Mwezi wa tano wote ninimlock.kila mahali mwezi mzima n kwasababu sasa hv kila.akipiga simi n ugomvi tu ameanza tena kunisimangia hii kazi ooh nilikuunga mkono.kwente kila.hatua had leo upo hapo leo unaniona sifai wakat mm wala sijawah kujiinua kuhusu hii kazi zaidi sana kila.ski nmekuwa nkimshukuru tu Mungu kwa ajiki ya hii kazi na hata siku moja sijawah kulala au kuamka bila.kumuombea kwa Mungu yaan lazima nitamke neno la baraka juu yake na natambua mchango wake kabisa. Shida n hayo.matendo ya nyumba na.haya maneno sasa hv anayoniambia had nmekuwa nkimdai talaka tu tangu mwezi wa 4 had wiki ilopita aliniambia yeye anajua kuowa tu hajui kuacha na alikuwa anataman niwe na kaz nzr halafu leo nmepata nimuache hpn bora tukose wote. Sasa tangu wiki ilopita tena hatuna mawasiliano chanzo nlimuomba watoto waje njombe likizo heee alintukana matusi jmn achen tu! Juzi akantumia.msg hii

"Natamani sana kukupigia na kuongea na wewe ila navunjwa moyo na kukatishwa tamaa response unayoonesha baada ya kupokea simu inatosha kuonyesha hutaki kabisa kusikia sauti yangu, 😭😭😭😭😭🙏🏽🙏🏽🙏🏽"

Jana usiku tena kantumia hii
"Naumia sana machozi ya damu yanatirika moyoni mwangu pale ninapoona mke niliyetamani awe katika hali uliyonayo kwa sasa ananikataa 😭😭😭"

Nashindwa kuelewa nifanyaje maana moyon ninakinyongo na hii n malimbikizo ya matukio aliyonifanyia jmn! Hapa sijaenda nyumbani tangu nije njombe yaan stak.kabisa kurud kwake na isitoshe vle hapendi maendeleo na alishawah uza kiwanja chetu kimoja.bila.hata kunishirikisha n kwamba nilikiuta tu documents za mkataba wa mauzo kuuliza amekaa.kmya hela sijui alipeleka wapi. Nishaurin mifanyaje maana had hisia sina jmn sasa hv nawaza tu kukiwekeza maana hata nksema nikaendeleze ule msingi uliopo naogopa atauza tena bila kuniambia jmn!
Msinishambulie nishaurin tu cha kufanya hata ya kuwa na aman naye yaan nirudije kama zaman yaan niwe mke na yeye awe mume yaan kila.mtu arud kama mwanzo tuheshimiane.
Asanten.
Na muda mrefu sijawai kuwa nyumbani kwetu.

Currently nipo maskani wiki now napiga story na washikaji na wadau mbali mbaliii
 
Back
Top Bottom