Wanaume wengine washamba tu kuazima azima vitu

Wanaume wengine washamba tu kuazima azima vitu

Masweeter

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
231
Reaction score
633
Alaa unakuta mwanaume ameupala anang'aa mtaani, safari zake mliman city na mbezi Mbezi,

Kumbe nguo zenyewe kaazima,
Kama ni gari nalo kaazima ni mambo ya aibu mno,

Hasa kuna wale wahongo kama nini sijui, ooo Mimi Nina iki Mara kile, ooo Mara baba yangu sijui ni nani,

Ooo namiliki maduka ya hardware kumbe mnawekwa mjini na masugar mamy, mnasimamia tu ,

Funguo ya kitasa unapokaa inakutu vitasa vyenyewe mpaka unyanyue mlango makubwwa,

Ooooo baby nakupenda sijui nitakununulia kiwanja, we Mwenyewe huna godoro mxhiuuuu!!!!

Mbaya zaidi na chumba hujapanga wewe unawadanganya wasichana kwamba ni kwako kumbe huna hata kwako, unaazima kupigia dyudyu tu,

Wasichana amkeni ukiona mwanaume wako anakupeleka sehem anasema kwake anaishia sebuleni we ingia chumbani kwa nguvu , toa mashuka na nguo jifanye utayafua, au jifanye unasalimia majirani ,kijasho lazima kimtoke,

Eti Nina hela wakati hata simu anaazima,

Analeta ATM card kuonesha kumbe zime expire mwaka juzi, na anasema ni ya NMB wakati ni ya KCB [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

OOO BABY NINATAKA MWAKANI NIKUOE YAAN HAMNA SONI

TAFTENI HELA ACHA HABARI ZA KIJINGA,
 
Kwani imekuwaje tenaaaaaaaa mbona tfaran? lol wanaume wengine wacheni show off zakijinga kama huna sema huna why unasema uwongo mpaka mnafanya wadada wanakua wagumu kuelewaaaaaaaaaaaa...
 
Pole sana mdogo wangu pia nikupe siri ukitaka uishi kwa amani usitilie manani kila unachokiona kutoka kwa hao viumbe kwa sababu unaweza wehuka bure. Walio wengi ni waigizaji tena waigizaji kweli kweli.

Hivyo wazowee tu na akili kichwani mwako pia..
 
Pole sana mdogo wangu pia nikupe siri ukitaka uishi kwa amani usitilie manani kila unachokiona kutoka kwa hao viumbe kwa sababu unaweza wehuka bure. Walio wengi ni waigizaji tena waigizaji kweli kweli.

Hivyo wazowee tu na akili kichwani mwako pia..
Mi mweneywe NAWAJua sana kuna mmoja eti anitaftie kazi bandarin hehaaa kwa magufuli huyu unaanzia wapi
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mjini pazuri kweli alie uza cheni bandia nae kapewa hela bandia.. Wanaume halisi hawaendi maeneo hayo wanaume halisi wanapatikana mazingira halisi.
Wanaume wahongo
 
Back
Top Bottom