Hivi kweli wanaume wa hivi wapo?

Hivi kweli wanaume wa hivi wapo?

Masweeter

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
231
Reaction score
633
Kuna dada tunakuwa naye saloon, sasa ametuhabarisha ya ndani kwao,
Kuna afisa jeshi mmoja anamtaka, amesekuwa anamtumia meseji usiku ,ila mme wake kaziona anaogopa kumkanya mke wake ameamua kumuandikia ujumbe huu mke wake,

FB_IMG_1525981865244.jpg
 
Uh mungu nijalie nipate mke wa dizan hiyo.. Nikichepuka anisamehe mpaka akome
 
Tatizo wanawake mnapenda sana kudanganyana hapo mtu kajiandikia barua anakuja kuwatambia nyie saloon aonekane anapendwa sana na mumewe matokeo yake naww ukirudi nyumbani unaanza kumwambia mumeo mbona haupo kama baba nanihii
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
mtihani kama mie nakupotezea tuuuuuu wala sikwambia chochote nakuwa nakuangalia tuuuuuuu
 
Back
Top Bottom