Jamani wanaume fueni nanii zenu za ndani, usafi muhimu

Masweeter

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
206
570
Jamani unakuta mkaka kapendeza jeans, raba na anawaka waka sana,

Lakini nimeshangaa ndani kwanza boxer imefubaa, alafu anavua kwa kuficha ficha kwanini msinunue nyingine ni sh ngapi Karume, mnakera sana.

Mtu anatamba kuwa kuna ichi na kile kumbe mwongo, kuona boxer tu inaleta picha ya maisha yake halisi, kuanzia kitanda na nyumbani kwake hata kipata pia.


Fueni
 
unakuta mkaka kaanguka ghafla tiii!
jamani kazimia huyuu
watu wanahangaika kumbeba wanampepea..huzindukii
wanaojua huduma za kwanza wanashauri..jaman mpunguzeni nguo apate hewaa...kidume unavuliwa shati ...haya suruali chaaa!
boksa nyeupe imekuwa ya brown utadhan ilibebea udongo wa kijijini
 
Darasa zuri unapokutana na mtu wa namna hiyo, mwambie ili ajirekebishe lkn kutangaza humu Jf hukuleti mantiki, unless umemuambia ndio then ukaleta hapa kama ushauri.
 
Back
Top Bottom