Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salamuni wandugu! Swali la "kama ni sawa watu kuishi pamoja bila au kabla ya kuoana" lilishaulizwa hapa jamvini zaidi ya mara moja.Kama maswala mengine tunayojadili hapa wapo waliopinga...
13 Reactions
98 Replies
7K Views
It still feels like our first night together Feels like the first kiss and It's gettin' better baby No one can better this I'm still hold on and you're still the one The first time our eyes met...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Maisha yanaendelea kama tunavyojua dar yetu tena, kamvua kananyesha mdogo mdogo kipindi hiki, trii triii..... napokea simu, mshkaji wangu ananiambia kuna dili posta so niwahi mda huo mapema tu...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama atagundua kuwa viungo vya mwanaume havifanyi kazi na kama hawatafanya mapenzi kwa mda wa miezi sita. -Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndugu wazima Naitwa Omm napenda kujitambulisha kwenu wadau. Ijumaa njema kwa kila mpenda maendeleo Omm.
1 Reactions
1 Replies
901 Views
unakuta mtu unaempeda sana na unamtegemea katika maisha yako awe mkeo,alafu unasikia kafunga pingu za maisha na rafiki yako wa karibu sana. utafanya nini na unakuta alikupromic kua mtaoana?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanakwetu habari zaidi. Ni mara ya kwanza kuwepo jukwaa hili baada ya muda mrefu wa kuwa observer tu bila kuchangia. Jamaa yangu wa karibu kaja na lake jambo. Amekuta mkewe ana urafiki kwenye...
0 Reactions
87 Replies
9K Views
Hebu niwaulize wana JF. Wewe ukiona wako wa zamani (ex) anatoka na mtu mwingine eti utajali? Kuna jamaa mmoja kwa kweli simwelewi. Sielewi kabisa mantiki yake na jinsi mchakato wake wa kufikiri...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
wapendwa, nimekua nikisoma sana post na coments zenu za humu JF, lakini sijawahi waza kupost Topic au coment kwa sababu ninazozijua...ila leo imenibidi niwashirikishe hili... Jamani nina...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi...
0 Reactions
149 Replies
13K Views
Dada mmoja alikua na mchumba wake ambaye walipendana sana walikaa ktk maisha ya uchumba kwa kipind kirefu bila ya kuvunja amri ya 6,lakin mtaani kulikua na fununu kua jamaa si rizik,ila yule dada...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Usiruhusu kabisa mwanaume awe kipaumbele kwako. wakati kwake yeye wewe ni pozeo tuu!
0 Reactions
15 Replies
3K Views
HUJAFA UJAUMBIKA! Sofia James Mwiga Ukimuona kwa sura, ni msichana mzuri mwenye macho ya kuvutia, lakini masikini hana raha ya maisha! Mtoto Sofia James Mwiga (17, pichani) mkazi wa Manispaa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Imagine you are preparing to get married the next day and suddenly your wife to be text you a msg that she is not interested to tie knots with you any more. She advices you to forget her...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Kosa Lilelile; Why? st1\:*{behavior:url(#ieooui) } Kuna usemi wa kingereza usemao “The more mistakes one makes in life, the smarter one gets in life” ingawa huu usemi hukubalika katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
unapompa mwnamke kilakitu halafu anakusaliti hadharani bilakificho pamoja na kashfa kibao kama mwanaume rijali utafanyaje:teeth:
0 Reactions
41 Replies
5K Views
kuna tukio ambalo linaniduwaza.kitendo cha bibi mzaa mama kuolewa na babu mzaa baba kinaendelea kunifanya nijue dunia ya ajabu .hii imetokana mara baada ya wawili hao kufiwa na wenziwao kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hallo, Kama wakati mgumu maishani mwangu, ni huu ndio nilio nao. Nilipenda msichana yupo Form 4, nilipomweleza hisia zangu hakusita kwani hata yeye alikuwa na kitu hicho tangu siku nyingi! Sasa...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Wapendwa wana JF na MMU napenda kuwajulisha nimebadilisha ID kutoka KIBIRITINGOMA to ESPERANCE. Nawapenda sana MMU idumu.
0 Reactions
39 Replies
2K Views
Boys, just do it!----Tell her you think shes cool. Tell her why you think shes so cool. Smell her hair. Talk to her in movie theatres. Pick her up and pretend youre going to throw her in the...
7 Reactions
61 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…