Mswaada wa Uganda wa kuhalalisha ndoa na talaka

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama atagundua kuwa viungo vya mwanaume havifanyi kazi na kama hawatafanya mapenzi kwa mda wa miezi sita.
-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama viungo vya mme wake vitakuwa ni vikubwa kwa sababu mapenzi ni raha kati ya watu wawili na wala si karaha, na mwanamke inabidi aonyeshe vitu kama michubuko etc ili kuthibisha kuwa hakuna njia ya kuinusuru hiyo ndoa.
-mwanamke na mwanaume wakishaishi kwa miaka mitano hata kama hawajafunga ndoa wakiachana wagawane mali.
-ulipaji wa mahari usiwe wa lazima.
source: DW swahili
 
wabongo mnasemaje haya mambo tukiyaweka kwenye katiba yetu mpya? mmmmm!!?
 
Ivugaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!

-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama atagundua kuwa viungo vya mwanaume havifanyi kazi na kama hawatafanya mapenzi kwa mda wa miezi sita.

Ndio maana nataka tupimane kwanza kabla ya ndoa!!! mambo ya kuuziwa mbuzi ndani ya kiroba hapana taka!!

Kaaazi kweli kweli!Then itakuja kama hazai..kama hajui kupika na kufua..kama anakoroma!

Lizzy hii nayo sio ya kupuuzia ndgu yangu, sema kama anakoroma na mwenza wake akawa hakereki hapo hamna shida ila mimi naomba sana nisije kupata mkoromaji
 
Ivugaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!

-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama atagundua kuwa viungo vya mwanaume havifanyi kazi na kama hawatafanya mapenzi kwa mda wa miezi sita.

Ndio maana nataka tupimane kwanza kabla ya ndoa!!! mambo ya kuuziwa mbuzi ndani ya kiroba hapana taka!!

umeona ee, hii ni haki ya kila mtu ya msingi kufanya window shop kwanza
 
Lizzy hii nayo sio ya kupuuzia ndgu yangu, sema kama anakoroma na mwenza wake akawa hakereki hapo hamna shida ila mimi naomba sana nisije kupata mkoromaji

Si mnavumiliana jamani ama??Besides..kukoroma kunazuilika!
 
-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama atagundua kuwa viungo vya mwanaume havifanyi kazi na kama hawatafanya mapenzi kwa mda wa miezi sita.
-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama viungo vya mme wake vitakuwa ni vikubwa kwa sababu mapenzi ni raha kati ya watu wawili na wala si karaha, na mwanamke inabidi aonyeshe vitu kama michubuko etc ili kuthibisha kuwa hakuna njia ya kuinusuru hiyo ndoa.
-mwanamke na mwanaume wakishaishi kwa miaka mitano hata kama hawajafunga ndoa wakiachana wagawane mali.
-ulipaji wa mahari usiwe wa lazima.
source: DW swahili

hapo kwenye red kama sijapaelewa vile.....,
hiyo michubuko ataonesha vipi?,
atamwonesha nani?
kwa njia ipi?

EEH MUNGU NAOMBA UZIDI KUNIONGEZEA ZAIDI SIKU ZA KUISHI ILI NIENDELEE KUONA NA KUSIKIA MENGI YALIYOMO KATIKA DUNIA HII.
 
hiki mbona ni kitu kirahisi sana , wanaenda tu hospitalini dokta anahakikisha na mambo yanakuwa yameisha
 
hadi hapa mimi bado sijaelewa kuwa ni nyeti zipi wanazihitaji hawa ndugu zetu?kwa sababu haya mapendekezo wameyatoa wanawake mjue.mimi hapo ndio ninapobakiiwa na mshangao, inawezekana hata hapa kwetu wana hiyo kero sema hawana pa kuipeleka?
 
Eeeenhh.....hapa nilipo nimechokea kabisa na hiyo sijui inaitwa sheria talaka ya Uganda.....
Haya labda itakuwa suluhisho la matatizo yao ya ndoa.
Hata sijui kama walifanya utafiti wa kutosha kama hayo pekee ndiyo chanzo cha migogoro mingi ktk ndoa zao.
 
haya ni baadhi tu ila yapo mengi mengine
 
Now days watu wengi huwa wanatest kabla ya kufunga ndoa some of them wanafunga ndoa but after a short time wanaachana,testing doesn't help,hata hao wa uganda wataweka mi utaratibu kibao lakin haitasaidia,tatizo liko sehem nyingine tu
 
Ivugaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!

-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama atagundua kuwa viungo vya mwanaume havifanyi kazi na kama hawatafanya mapenzi kwa mda wa miezi sita.

Ndio maana nataka tupimane kwanza kabla ya ndoa!!! mambo ya kuuziwa mbuzi ndani ya kiroba hapana taka!!

mpimane nini?acha uzinzi heshimu ndoa,huruhusiwi kudu mpaka ndoa
 
Sheria ni mbaya na ya upande mmoja, mbona haisemi mwanaume akikuta mwanamke ana nyeti kubwa sana kiasi cha kukosa friction naye aombe ndoa ivunjwe!?
 
SI NDIO MAANA WANATAFUTA SOLUTION .INCASE KUKIWEPO TATIZO KAMA HILI
Sheria ni mbaya na ya upande mmoja, mbona haisemi mwanaume akikuta mwanamke ana nyeti kubwa sana kiasi cha kukosa friction naye aombe ndoa ivunjwe!?

wanawake waliohojiwa ndio walisuggest haya mambo, na wanaume pia walihojiwa vile vile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom