mahusiano na mapenzi

mjombajona

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
262
50
unapompa mwnamke kilakitu halafu anakusaliti hadharani bilakificho pamoja na kashfa kibao kama mwanaume rijali utafanyaje:teeth:
 
Mjombajona.
You have to understand that kilakitu is subjective. In your mind you maybe thinking unampa everything wakati kwake yeye anaona unavyompa havitoshi and/or is nothing, zilch. So, kama "mwanaume rijali " just read between the lines and move on. It is clear that she does not appreciate nor feel for you what you are hoping that she does!
 
Oouch!
 
unapompa mwnamke kilakitu halafu anakusaliti hadharani bilakificho pamoja na kashfa kibao kama mwanaume rijali utafanyaje:teeth:

Huyo atakuwa hana mapenzi na wewe,, u have just to move on kama alivyosema Nemo.
kwa maana kama anaelewa thamani yako kwake hawezi fanya hayo.
 
unamaanisha nini unaposema kila kitu? hili ndio tatizo la wanaume wengi, wanafikiri fedha, magari, majumba na anasa za dunia ndio mapenzi!!! kumbuka hivyo unavyompa sivyo alivyovifuata kwako!! kama ni fedha hata yy anaweza kuitafuta, kama kitanda hata kwao kipo!!!

eeeh hembu fikiri kuna kitu kimoja anakosa kutoka kwako, ama anakipata lakini hakimtosholezi that's why ameamua kuchapa lapa ili kukuonyesha kuwa alichokua anategemea kwako hakukipata na amekipata kwa mtu mwingine!!!

haya swali kwenu wanaume marijali, mngefanyanini??

nasubiri kuona.
 
Mjombajona.
You have to understand that kilakitu is subjective. In your mind you maybe thinking unampa everything wakati kwake yeye anaona unavyompa havitoshi and/or is nothing, zilch. So, kama "mwanaume rijali " just read between the lines and move on. It is clear that she does not appreciate nor feel for you what you are hoping that she does!
Kweli Nemo you keep on the chase, wastage of your precious time, move on guy!!!! Wamejaa mabinti wenye adabu wanatafuta wachumba, tena kwa magoti wanamuomba Mungu!!!!!!! Labda hujui mahali pa kutafutia ndg yangu au vipi??????
 
Huu ni
udhalilishaji dahhh

Lakini yategemea na we
ulikuwa unafanya nini
Sikubaliani na mtu yeyeto kudharauliwa
kiasi hicho.. lakini kuna wengi wenye short temper..

Kuna kitu kimekosekana kwenye story yako....
ulifanya au ulimfanyia nini?
Ni vigumu sana kusema unampenda mtu unampa
Kila kitu halafu akudhalilishe hadharani..
labda awe hana akili timamu..
 
aaa kumbe ni kwa wanaume rijali!!

m out

ila kabla sijatoka, ni hivi....

we ukiona hivi mwenzako anaona vile
we wadhani wampa kila kitu kumbe hata nusu yake hujafika
jamani wanaume mnatakiwa muelewe kuwa, material things doesn't count kama kila kitu kwa most of women
if you don't show her TLC hata kama umempa nini hatoridhika kamwe na hatimaye atafute mtu wa kumpa anachokikosa kutoka kwako
pole kijana onyesha mapenzi usitumie hiyo lugha ya kila kitu kwa mwanamke anayetaka mapenzi( doesn't include gold diggers though) kutoka kwako.
pole wee
 
soma hii ni signature ya swetdada, nimeipenda sana!!

Don't Cry for Someone who Can't Cry for You!!
 
ckia mjombajona, ilikupata ushauri wenye kukujenga ungeweka historia yako na yeye wazi. Kama chanzo cha usaliti, mlikutana katika mazingira gani, ni mkeo au ni mchumba nk. Umefanikiwa kumpa everything laki hujampa utu, huenda ulikuwa unamsimanga na vitu unavyompa! Wanawake wenye upendo wa dhati huwa hawaangalii vitu bali wanaangalia utu... Jiweke wazi upate ushauri mzuri.
 
unapompa mwnamke kilakitu halafu anakusaliti hadharani bilakificho pamoja na kashfa kibao kama mwanaume rijali utafanyaje:teeth:

Patamu hapo unamwona mtu priority kumbe wewe ni vice-versa kwake!..usikute kazoea kupokea, anakuzingua yani hakupendi, haridhiki/tosheki n.k. zinaweza kuwa sababu!!..
 
Mjombajona umesema anakusaliti hadharani bila kificho na kashfa kibao ningependa kujua hizo kashfa ni zipi?
 
unapompa mwnamke kilakitu halafu anakusaliti hadharani bilakificho pamoja na kashfa kibao kama mwanaume rijali utafanyaje:teeth:

kila kitu ndiyo nini? au unamaanisha nini? no one on this planet can give another human being kila kitu.
 
Back
Top Bottom