Shemeji yangu gay, alale na nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shemeji yangu gay, alale na nani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Washawasha, Apr 16, 2011.

 1. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi kichwa knauma. je? Gay huyu alale chumba cha mtoto wangu wa kike au wa kiume.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Utamlazaje mwanaume mzima na mtoto wa kike?Mlaze na wa kiume...kwani kakwambia anatamani hata ndugu!
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Hajaniambia ndio mara yake ya kwanza kututembelea kwa style hii ya kuzima radar
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mlaze nje mwaya asikuharibie watoto
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sikumaanisha kwamba anaweza kukwambia kweli...ishu ni kwamba hawezi kutamani ndugu unless ni mgonjwa!
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Sawa bibie,atacheza na baraza
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Mlaze living room kwenye Sofa!
   
 8. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  No no huo ni unyanyapaa,kwa ujumla nawachukia hawa watu ila mpe heshima yake ila mtaadharishe dogo akiona kuna dalili yeyote mbaya aseme
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  hawana displine ao
  usije kuta anapandisha siku moja moja na ASIJE AKAMPANDSHIA MTOTO WAKO

  DAH AKUNA CHUMBA CHA WAGEN?
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  icho anachokifanya tu ni ugonjwa tayar
  sokuataman ndg pia si shda kwake
  pls asilale na mtoto wa kiume..anaweza ata akamwomba amkwee na ivyo kuleta pcha /mbegu mbya kwa mtoto

  atafutiwe chumba chake na uwe makin na watoto wako
   
 11. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mmmh,Lizzy unawajua hawa watu vizuri au unawasikia tu?
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mtafutie chumba cha peke yake. Huez jua unaweza kumlaza na mtoto wa kiume akamfundsha amfanyie hako ka mchezo. Inshort ni bora alale peke yake!
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mwambie hata aisije aende zake huko!
   
 14. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kwa usalama zaidi, amlaze na mtoto wa kike,
  kwani wakiwa pamoja huko anajiona kama binti,
  mwisho wa siku hakuna kitakachotokea!
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  akhu kisa cha kumpaka bnt mapepo ya sodoma?
  wala alale ukouko kwa wakiume
  km vp mpangien gest ya karibu...ashinde kwako kulala gest


  mashoga hawana msalia mtume thy r capable of anythng
   
 16. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh! Hii kweli njia panda. Fanya ol that u can huyo bwana alale peke yake. Kama watoto wako si wakubwa sana wao ndio walale chumba kimoja, mmoja awekewe godoro chini.
   
 17. RR

  RR JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,718
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Piga marufuku kuja.....deyiiiim!
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hehehe nawasikia tu!Inawezekana ni zaidi ya niwafikiriavyo?
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mpngid gesti tu ndo soln lakn ukishaanza kumjaribu itakula kwako ni hyo 2....
   
 20. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafuta net alale living room.:couch2:
   
Loading...