Sharp Observer
Member
- Apr 11, 2011
- 59
- 41
Wanakwetu habari zaidi. Ni mara ya kwanza kuwepo jukwaa hili baada ya muda mrefu wa kuwa observer tu bila kuchangia.
Jamaa yangu wa karibu kaja na lake jambo. Amekuta mkewe ana urafiki kwenye facebook na boy friend wake wa kwanza (aliyemtoa nanihii..., nadhani wakubwa mmeelewa).
Jamaa issue imemchanganya sana japo hajui kinachoendelea. Kaniomba ushauri nami nikaona kabla ya kumshauri (guidance or counciling) nipate mawazo yenu.
Wewe issue hii ungeichukuliaje, au ungechukua hatua gani?
Naomba mawazo yenu wala si kupotezeana!
Nawakilisha