Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Takribani mwezi sasa umepita Nguli sijakuona iwa unachangamsha jukwaa pia hata meza kwa kujivinjari na Nguli kubwa vp mzee mabox yamekuelemea? Masa jana kasema amekuacha Zenji umenogewa na pweza...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Cheating everywhere in every time! Do You cheat? And what do You think about cheating?
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Hivi kuna saa nyingine mtu una kaa nakufukiria Life is ****ing shit... why M I here???? Nina fanya nini tu kwenye hii dunia..
3 Reactions
71 Replies
7K Views
Kuna kaka mmoja alikuwa akimfuatilia rafiki yangu (wote wanafanya kazi) ni kwa muda mrefu atlast dada akaamua kuanzisha mahusiano nae kama wiki tatu zimepita. Tatizo alilonielezea ni kuwa kaka...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
kwa wale waliosoma shule za bording na single sex mnakumbuka nini kuhusu wake/waume zenu? shule moja huamini kuwa wake zao ni shule fulani katika madisco wao hupewa kipaumbele sana na kama kuna...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mchumba,wajamani nina tatizo ambalo ni siriaz naomba msipuuzie,nina mchumba nimempenda na si ishi nae mwaka ss umeisha,kuna shida moja nampenda sn na yeye ananipenda shida ni kwamba mi niko chuo...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa kufanya hivyo tutaweza japo kwa kiasi kidogo kupafanya duniani kuwa ni mahali pazuri pa kuishi.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wahenga walisema mnyonge myongeni lakini haki yake mpeni... To date mwanaume bado anasimama kifua mbele kuwa mpishi mzuri duniani na hakuna wa kumlinganisha. Just imagine kwa soseji moja, mayai...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mzee Mwanakijiji: Utastaafu lini siasa uanze mapenzi rasmi? Siasa haina kustaafu? Firstlady1: Mbona kasi yako ya kupost imepungua, Umeshaanza kwenda Kliniki? Geoff: Siku hizi umekuwa mpole sana...
0 Reactions
169 Replies
13K Views
Ndg wana JF naombeni mnisaidie kujua hili, inamchukua muda gani mwanamke anaye nyonyesha kuanza kushriki tendo la ndoa na mwenza wake? Naombeni majibu yenu mnaojua plz
1 Reactions
71 Replies
12K Views
Wana JF hongereni kwa kazi!!!!. Jamani naombeni maoni yenu kuhusu mwanamke anayecheza Karate anafaa kuolewa? Au inabidi aolewe na mcheza karate mwenzake? au kama mwanaume achezi nilazima kujifunza...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Nimeskia watu wengi wakiongea kuwa kama wewe ni mwanamke then ukamwona mpenzi wako anakuomba tigo ujue hakupendi!!wanajamii hivi kuna ukweli katika hiyo belief
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani wadau nimepanga kutoa posa hivi karibuni kwa binti machachari hapa jamvini na kwa jina ni DENA AMSI. Nawakaribisha woteeee tusherekee natumaini hii itakuwa safari yangu ya mwisho wa...
1 Reactions
153 Replies
9K Views
Wana Jf kuna dada yake na mdogo wangu ambaye ni mtoto wa baba mdogo. Nimefahamiana naye sababu ya mdogo wangu, tumezoeana na namheshimu kama ndugu yangu. Lakini cha ajabu ameanza kuonesha kila...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Salaam wakuu kuna kisa kimenitoke ila nakosa namnaya kukikabili, Nina mpenzi wangu nipo nae huu mwezi wa 9 sasa, yeye yupo moshi mimi nipo arusha...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Kawaida binadamu kijinsia ni aidha mwanaume au mwanamke.Hawa T girls (majina mengine shemales,Transvestites,Transgender,Transsexual,crossdresser ,sluts with nuts,dolls with balls etc )tuwaweke...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natamani kungekua hamna kupenda!!! Nwy burudikeni na mamaa wa Tina Turner.Weekend njema to y'all:bange:.....be good DON'T BREAK ANY HEARTS!! Oh what's love got to do, got to do with it What's...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
  • Closed
jk umeanza wa kwako umemwacha dar waanza kushikilia mikono ya wake zetu anaonekana museven akimwambia jk..haya ni maon na mawazo ya pdidi tu na hayafungamani na uongozi w jf wala member yoyote wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
habari wandungu...nihivi nina mdogo wangu ninae msomesha,kaitimu form v mwaka jana,kama matokeo mlivyo ona watoto wamefail sana mwaka huu.mdogo wangu alimaliza mwaka juzi ila alipata four ya 30...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Sio kila garage inafaa kufanya service ya gari lako.................:A S-rose:.. Garage nyingine utawekewa oil chafu badala ya oil mpya .. Garage nyingine badala ya kukuwekea new spare...
6 Reactions
113 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…