Mapenzi bwana.....arrrrg!

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,821
59,411
images
images


Natamani kungekua hamna kupenda!!!

Nwy burudikeni na mamaa wa Tina Turner.Weekend njema to y'all:bange:.....be good DON'T BREAK ANY HEARTS!!

Oh what's love got to do, got to do with it
What's love but a second hand emotion
What's love got to do, got to do with it
Who needs a heart
When a heart can be broken



http://www.youtube.com/watch?v=Pu8KFlfzk3Y
 
Vituko ulivyoviainisha kwenye hizo karagosi zimefafanua vizuri sana kuhusu hiyo kitu "love"
Mwishoo wa siku ni kama vituko tu.....!
 
hahaa.,man,umepitia COMEDY ACADEMY,.? naona kama unatugawia sleeping pills,.arifff
 
http://www.youtube.com/watch?v=8yvsU4SNWPA

I know it's been some time
But there's something on my mind
You see, I haven't been the same
Since that cold November day...
We said we needed space
But all we found was an empty place
And the only thing I learned
Is that I need you desperately...

So here I am
And can you please tell me... oh

Chorus:
Where do broken hearts go
Can they find their way home (Yes! they always do! if they're ready to take the initiative to move on with their lives)
Back to the open arms
Of a love that's waiting there
And if somebody loves you
Won't they always love you
I look in your eyes
And I know that you still care, for me

I've been around enough to know
That dreams don't turn to gold
And that there is no easy way
No you just can't run away...
And what we have is so much more
Than we ever had before
And no matter how I try
You're always on my mind

chorus

And now that I am here with you
I'll never let you go
I look into your eyes
And now I know, now I know...
 
http://www.youtube.com/watch?v=8yvsU4SNWPA

I know it's been some time
But there's something on my mind
You see, I haven't been the same
Since that cold November day...
We said we needed space
But all we found was an empty place
And the only thing I learned
Is that I need you desperately...

So here I am
And can you please tell me... oh

Chorus:
Where do broken hearts go
Can they find their way home (Yes! they always do! if they're ready to take that initiative to move on with their lives)
Back to the open arms
Of a love that's waiting there
And if somebody loves you
Won't they always love you
I look in your eyes
And I know that you still care, for me

I've been around enough to know
That dreams don't turn to gold
And that there is no easy way
No you just can't run away...
And what we have is so much more
Than we ever had before
And no matter how I try
You're always on my mind

chorus

And now that I am here with you
I'll never let you go
I look into your eyes
And now I know, now I know...

But finally she did. Poor Witty.
 
Bubu nimetaka ku play huo mziki wa Witney nimepata message kuwa hapa nilipo kutokana na mambo ya copyright siwezi kuucheza. Nimesikitika.
 
Lizzy wengine kupenda ni part ya maisha yetu, siku kupenda kukiisha tu na maisha yangu yanakuwa yamefika mwisho.... No matter nimepata broken heart mara ngapi, lakini sitoacha kupenda..... na kila broken heart naichukulia kama trial tu na uzuri zaidi binadamu tumeumbwa na kusahau!!!!!!
 
Bubu nimetaka ku play huo mziki wa Witney nimepata message kuwa hapa nilipo kutokana na mambo ya copyright siwezi kuucheza. Nimesikitika.

Pole sana Mkuu, haya mambo ya copyright huko Utube naona yamekaa kushoto kushoto. Sielewi kwa nini watu katika nchi fulani wanakuwa na access ya kuweza kusikiliza nyimbo zote huko, na wakati huo huo watu wa nchi nyingine hawaruhusiwi kuzisikiliza.

 
Lizzy nawe bwana unani haribia weekend khaaa
we ngoja niwe bored ntakusumbua mpaka uoe rangi zote..
mmmhhhhh
have a good one..
 
Love....Broken Hearts!! M speechless ila i believe true love never ends and if it does it never was true!!!
 
images
images


Natamani kungekua hamna kupenda!!!

Nwy burudikeni na mamaa wa Tina Turner.Weekend njema to y'all:bange:.....be good DON'T BREAK ANY HEARTS!!

Oh what's love got to do, got to do with it
What's love but a second hand emotion
What's love got to do, got to do with it
Who needs a heart
When a heart can be broken

YouTube - What's Love Got To Do With It (Black & White Version)




Lizzy naona leo kweli umeamua, asante mdada.... Sijui nyimbo nyingi za Turner but fortunately this I know; after all its about breaking a heart (nyimbo za hivyo lazima zikukae akilini)...LOL. Anyways asante kwa kutupa one the oldies of all time...
 
Lizzy wengine kupenda ni part ya maisha yetu, siku kupenda kukiisha tu na maisha yangu yanakuwa yamefika mwisho.... No matter nimepata broken heart mara ngapi, lakini sitoacha kupenda..... na kila broken heart naichukulia kama trial tu na uzuri zaidi binadamu tumeumbwa na kusahau!!!!!!

Mmmh maisha yanafika mwisho alafu unaanza upya kwa kupenda tena sio???Well hicho kipindi cha kusubiria kupenda tena ndo hua kichachu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom