Mwananke Mcheza KARATE!!

Kajuni

JF-Expert Member
May 27, 2009
486
186
Wana JF hongereni kwa kazi!!!!. Jamani naombeni maoni yenu kuhusu mwanamke anayecheza Karate anafaa kuolewa? Au inabidi aolewe na mcheza karate mwenzake? au kama mwanaume achezi nilazima kujifunza kwani inawezekana kunakutofautiana ndana ya nyumba alafu ukala kisago na sie wanaume atuna chama cha kututetea. Hiii imekaa vipi wana JF?
 
GHrrrrrrr!!!!!!
kwani akicheza karate anageuka kuwa mwanaume?
nanii inafungika au?
Ataolewa na yule anaye mpenda
 
GHrrrrrrr!!!!!!
kwani akicheza karate anageuka kuwa mwanaume?
nanii inafungika au?
Ataolewa na yule anaye mpenda

Anabaki kuwa mwanamke lakini lugha kama zile za kule kwetu Mara za wewe ebu sogea nataka KUKURARA lazima uzifikirie mara mbili mbili!! lasivo unaweza ambulia kichapo!
 
Kajuni wanawake tunapenda mwanaume anayejiamini,sio kwa vile mkeo ni mcheza judo then wewe kila kitu ni sawa utaboa mapema
 
Maswali mangine bwana....kwani huko kucheza karate kunapunguza uanamke wake???
 
Kuna dada namjua wakati tuko watoto alikuwa mcheza sarakasi bingwa. Na ni mzuri balaa. She got married. Sijuhi kama ana watoto, maana tulikuwa tunamwambia kuwa hatazaa tulivyokuwa wadogo.
 
Hau oldi aaaa yuuu mkuu, eeh?

Hii ni signecha yako 'we should use common sense although common sense is not always common'

Sasa wewe unataka kuoa karate au mwanamke?
 
Je walio oa wajeshi nao wasemeje! hata akiwa anabeba vyuma hakuna tatizo ili mradi muwe mnaheshiniana kama mume na mke
 
wana jf hongereni kwa kazi!!!!. Jamani naombeni maoni yenu kuhusu mwanamke anayecheza karate anafaa kuolewa? Au inabidi aolewe na mcheza karate mwenzake? Au kama mwanaume achezi nilazima kujifunza kwani inawezekana kunakutofautiana ndana ya nyumba alafu ukala kisago na sie wanaume atuna chama cha kututetea. Hiii imekaa vipi wana jf?
bwna kaka hapo lazima uwe makini mana ukimzingua/ ukimtibua tu siku lazima atakupa kichapo ila inasemwa kuwa wanawake wa kitz wana nidhamu sana kwahiyo anaweza kuwa mpole tuu ndani ya nyumba
 
Hau oldi aaaa yuuu mkuu, eeh?

Hii ni signecha yako 'we should use common sense although common sense is not always common'

Sasa wewe unataka kuoa karate au mwanamke?

Mwanamke! ila izo karate sasa...infact kuna jirani yangu kila uchao wadau wanasema anakula kichapo ila awezi kusema nje.
 
Karate sio mchezo wa ubabe, ni mchezo unaokufunza hekima na nidhamu. Watu waliofuzu ki-ukweli(Black Belt) karate huwa ni wapole saana hata wakati mwingine ni vigumu kumtambua labda na wewe uwe mcheza karate utagundua mwendo pamoja na mikono yake. Ni bahati sana kuoa mwanamke mmpenda na mshiriki michezo TZ ni kama hakuna ndugu yangu una bahati sana.cancer za matiti na non comm. Desease kibao kutokana na uzembe. Pia kareti inamjengea kujiamini
 
Kama kuna upendo wa dhati,kuheshimiana yote yawezekana so kucheza karate hakuwezi kumfanya mtu asiolewe au aolewe namcheza karate mwenzake.
Ni muhimu kuelewa kuwa wakati wa mchezo au kazi ni wakati wa vitu hivyo na wakati wa mahusiano ni wakati wa mahusiano
 
Hau oldi aaaa yuuu mkuu, eeh?

Hii ni signecha yako 'we should use common sense although common sense is not always common'

Sasa wewe unataka kuoa karate au mwanamke?

Newly matured!!!!
 
bwna kaka hapo lazima uwe makini mana ukimzingua/ ukimtibua tu siku lazima atakupa kichapo ila inasemwa kuwa wanawake wa kitz wana nidhamu sana kwahiyo anaweza kuwa mpole tuu ndani ya nyumba
mmmmmmhhh nani kakudanganya kuwa wanawake wa kiTZ ni wapole? 'kimya kina mshindo mkuu',ogopa hao unaowaita wapole,siku akikuchenchia............
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom