Naitajii mawazo yenu ma greater thinker...

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
habari wandungu...nihivi nina mdogo wangu ninae msomesha,kaitimu form v mwaka jana,kama matokeo mlivyo ona watoto wamefail sana mwaka huu.mdogo wangu alimaliza mwaka juzi ila alipata four ya 30 kwa vile nilitaka aendelee na for v...nilimwambia arudie tena form iv yanii sasa hivi ndo mbaya zaidi kapata iv ya 33 ana D mbili tu nyingine zote F.msaada wangu nnaotaka kwenu wa kuni huu
[1]JE KUNA COLLAGE YOYOTE AMBAYO ANA WEZA KUPATA
[2]KITU GANI ANAWEZA KUSOMEA KUTOKANA NA ALAMA ALIZO PATA[NIWAKIKE]
 
sasa mbona hujasema amepata hizo D kwenye masomo gani? pia muulize ye anataka kufanya nini na maisha yake. yawezekana unamlazimisha afanye kitu ambacho hapendi na sio fani yake. kumbuka kufanikiwa na maisha sio lazima usome. jua fani yako, na itumikie kwa bidii na utafaulu maisha.

ili mtu afaulu maisha anachohitaji ni kuonyesha bidii kwenye kipaji chake tu. na kipaji hicho sio lazima asoma. sina haja ya kutoa watu waliofanikiwa bila kwenda shule, wote tunawafahamu.
 
ila kama anataka kusoma, then tuambie tutakupa ushauri zaidi. muulize kwanza ujue fani yake na mapenzi yake.
 
sema kwanza kapata D za masomo gani,tunaweza kukupa ushauri hata kabla hujamuuliza we sema
 
Mpeleke veta au cbe akasomee certificate, kuna mdogo wangu alipata D mbili tena english na civics lakini nilienda pale nikaombaomba kisanii lakini akapata, alivyoanza kusoma alisoma kwa bidii sanasana akapata first class badae nikampeleka ifm kamaliza na upper second. kwa hiyo wala usikate tamaa muulize kama yuko tayari anza kama nilivyokuelekeza.
 
oky mkuu ana D ya history na english...nimejaribu kukaa nae jana jioni nikamuuliza matokeo ndo hayo mabaya sasaa wewee unataka kufanya ninii namuona hadi sasaa hana jibu,hajui anataka ninii nime mpaa one week anipe jibu au nimrudishe akapumzeke kwa mamaa ake sio kwangu
sasa mbona hujasema amepata hizo D kwenye masomo gani? pia muulize ye anataka kufanya nini na maisha yake. yawezekana unamlazimisha afanye kitu ambacho hapendi na sio fani yake. kumbuka kufanikiwa na maisha sio lazima usome. jua fani yako, na itumikie kwa bidii na utafaulu maisha.

ili mtu afaulu maisha anachohitaji ni kuonyesha bidii kwenye kipaji chake tu. na kipaji hicho sio lazima asoma. sina haja ya kutoa watu waliofanikiwa bila kwenda shule, wote tunawafahamu.
 
Mpeleke veta au cbe akasomee certificate, kuna mdogo wangu alipata D mbili tena english na civics lakini nilienda pale nikaombaomba kisanii lakini akapata, alivyoanza kusoma alisoma kwa bidii sanasana akapata first class badae nikampeleka ifm kamaliza na upper second. kwa hiyo wala usikate tamaa muulize kama yuko tayari anza kama nilivyokuelekeza.
asante mkuu kwa mawazo yako ntajaribu kuongea nae kuhusu hiloo
 
B'Real najua inaweza kuwa very disappointing lakini ndio ukubwa wenyewe.

Kama hana nia ya kusoma ni bora usiendelee kutupa hela yako.
Wasichojua vijana wa leo ni kwamba elimu inasaidia katika kila kitu hata kama ukitaka kujiajiri.

Mkalishe chini and gently mpe ukweli wa maisha.
 
B'real kwanza naomba huwe mpole..na jaribu kuzungumza naye kwa utaratibu usimChukie,wala kufanya haraka kumrudisha hautakuwa umemsaidia.. alternative zipo nyingi za kufanya na maisha si shule tu kuna vyuo vingi vya ufundi na vingine vya kujiendeleza taratibu..mpaka akafika elimu ya juu..ila ,muulize yeye anapenda kufanya nini...

Nakukumbuka hata mie nilipitia kipindi kigumu kama hicho ila nilipata wa kunitia moyo na wengine walinichukia na kunidharau(sipendi kukumbuka)lakini siyo mwisho wa maisha.sasa nakula bata kuliko hata wale waliokuwa wamenitangulia wanatamani wafikie pale nilipofikia kwa sasa..na ningumu kunifikia nilipo sasa kwa maisha ya kitanzania.Mpe moyo zungumza naye kwa utaratibu na wale usimkatishe tamaa wale kumtukana kwa matokeo.muone wa umuhimu sana katika maisha yako.Hakuna anayejua baada yaa miaka 10 hatakuwa wapi...muhimu endelea kumuomba mungu .

KEEP ON STANDING.
 
sasa mbona hujasema amepata hizo D kwenye masomo gani? pia muulize ye anataka kufanya nini na maisha yake. yawezekana unamlazimisha afanye kitu ambacho hapendi na sio fani yake. kumbuka kufanikiwa na maisha sio lazima usome. jua fani yako, na itumikie kwa bidii na utafaulu maisha.

ili mtu afaulu maisha anachohitaji ni kuonyesha bidii kwenye kipaji chake tu. na kipaji hicho sio lazima asoma. sina haja ya kutoa watu waliofanikiwa bila kwenda shule, wote tunawafahamu.
Kweli kabisa mkuu sina cha kuongeza.
 
oky mkuu ana D ya history na english...nimejaribu kukaa nae jana jioni nikamuuliza matokeo ndo hayo mabaya sasaa wewee unataka kufanya ninii namuona hadi sasaa hana jibu,hajui anataka ninii nime mpaa one week anipe jibu au nimrudishe akapumzeke kwa mamaa ake sio kwangu
Kwanza hongera sana mkuu kwa moyo mzuri wa kumsaidia mdogo wako kupata elimu na bado kuendelea na nia ya kumsaidia.

Mengi yashaulizwa najaribu tu kuendelea,je wewe binafsi katika mda uliotumia kuishi nae umemuona ana kipaji chochote katika eneo flani au kitu chochote ambacho anapenda kufanya katika maisha yake ya kila siku ambacho kama utamsaidia kujiendeleza kitamletea manufaa baadae maishani mwake?
 
Kila binadamu kuna kipaji chake Mungu kampa,muulize anapenda nini kama ulivyoshauriwa au mpe muda wa kufikiri angependa na anafikiri anaweza kufanya nini vizuri then mtie moyo,najua anapita kipindi kigumu,mshauri asikate tamaa,mwambie unampenda na utajitahiidi kadri ya uwezo wako kumuwezesha kufikia malengo yeyote atakayoamua......azidishe bidii,maisha si lelemama,Mungu mbele.....:coffee:
 
habari wandungu...nihivi nina mdogo wangu ninae msomesha,kaitimu form v mwaka jana,kama matokeo mlivyo ona watoto wamefail sana mwaka huu.mdogo wangu alimaliza mwaka juzi ila alipata four ya 30 kwa vile nilitaka aendelee na for v...nilimwambia arudie tena form iv yanii sasa hivi ndo mbaya zaidi kapata iv ya 33 ana D mbili tu nyingine zote F.msaada wangu nnaotaka kwenu wa kuni huu
[1]JE KUNA COLLAGE YOYOTE AMBAYO ANA WEZA KUPATA
[2]KITU GANI ANAWEZA KUSOMEA KUTOKANA NA ALAMA ALIZO PATA[NIWAKIKE]

Nenda chuo cha ustawi wa jamii kijitonyama au cbe atapata nafasi kwa alama hizo hizo aanze na certificate then ataendelea taratibu,i also have my cousin with the same case this yr,she resit but the result is worse than before usikate tamaa,unikata tamaa itakuwa mzigo wako baadae
 
pole sana dont give up on her mawazo uliyopewa ni mengi work on them ila mi avatar yako inanitish:A S 20:aaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom