Ni mimi tu auu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni mimi tu auu??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by afrodenzi, May 12, 2011.

 1. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna saa nyingine
  mtu una kaa nakufukiria Life is ****ing shit... why M I here???? Nina fanya nini tu kwenye hii dunia..
   
 2. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukiwa umepata mitihani ya kukuumiza nafsi habibty ndio utaweza kuwaza ivyo lakini kama pesa ipo afya unayo familly nzuri imekuzunguka wallah sidhani kama waweza kuwaza jambo hilo hata siku mija,,,ila hilo linakuja paleeeeee unapotaka usichoweza kupata au unapokutwa na usilotaka likukute hivi ndio nnavyoona mimi habibty,,,
   
 3. CPU

  CPU JF Gold Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  My dia AD
  Unahitaji someone wa kukufariji.
  Mimi nilikuwa naamini wewe ni mdada mwenye furaha na maisha yako na unapata raha za kuishi. Hii sredi umenishtua sana.

  Bahati simufahamu zaidi ya jina AD
  Ningefurahi kupata nafasi ya kuongea na mtu kama wewe kukuondoa fikra kama hizo.
  Kila nikisoma ulivyoandika na maneno uliyotumia naanza kupata picha ya jinsi ulivyo kimawazo.

  My love AD, ru there???
   
 4. CPU

  CPU JF Gold Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mmmmmmmmmmh
  Mi nakushangaa umetumia dawa zipi kumficha Hashycool??? Hata wewe huonekani hapa JF!!!
  Nakumiss mpaka nalia
   
 5. CPU

  CPU JF Gold Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  AD wangu
  Naamini uko serious na ulichoandika
  Umenifanya nipoteze attention yote hapa nilipo bed nianze kuwaza ulivyo wewe.
  Why this jamani??
  Ngoja . . . .
   
 6. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usinichekeshe cpu.... hahahah mie mbona nipo wewe ndio sikuoni my dear.... za masiku maisha yasemaje lakini???miss u too as u do.
   
 7. CPU

  CPU JF Gold Member

  #7
  May 12, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Maisha nashukuru Mungu nayafurahia sana, matamu sana. Ningependa nifurahie pamoja na watu kama AD, yaani huyu mdada ningejua anapoishi ningemfuata asubuhi hii hii maana nimekabwa na kitu cha kumwambia na kumrudishia furaha ya maisha, nashindwa hata kuandika hapa JF. Naamini nina kitu cha kumfanya arudishe furaha tena ktk maisha yake, yaaani . . . . mpaka vidole vinawasha hata kuandika
   
 8. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hhahaha m pm tuu mumalize mambo yenu hapa hadharani watu watajua bwana,,hahah kama ushajua shida yake wewe mwendee pm atakwambia yuwapi umfate hahah na mie mkifanikiwa ndio mnijulishe hahah
   
 9. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pole Ad itakuwa ni upweke tu unakusumbua, jaribu kujichanganya na watu ili usiwe unakaa peke yako muda mwingi
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,300
  Likes Received: 22,086
  Trophy Points: 280
  Mwite Yesu maisha yako yote, Yesu ni mponya, anaponya mashaka, mashaka ni hofu, na hofu ni dhambi, na mshahara wa dhambi ni mauti.
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,747
  Trophy Points: 280
  You wanna die babygirl? OMG!
  Am praying for you!
   
 12. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  dada AD, maisha ni mazuri na yanapata maana yake pale unapomcha Mungu tu, kinyume na hapo, maisha ni ubatili na kujilisha upepo. jaribu kuiona logic ya kuishi na maisha kwa mtazamo wa mapenzi na mpango wa Mungu, utashangaa sana jinsi Mungu alivyotupenda na daima utamrudishia utukufu.

  mimi binafsi namshukuru sana Mungu, sijawahi kuona maisha yako boring, nina umri wa miaka 26 sasa na nafurahia na kumtukuza Mungu kila dakika hapa duniani. jitahidi usome sura nzima ya 12 ya kitabu cha Mhubiri uone majibu ya uhakika wa swali gumu sana unalojiuliza la "WHAT IS THE PURPOSE OF LIFE?" ukishapata jubu lake, utashangaa jinsi Mungu anavyotupenda. hata family members wakituacha na kutususa, wapenzi wetu wakitukimbia na kututelekeza, tukipigwa na magonjwa na tabu za dunia, when you realize that God will never foresaken you, looh, ni furaha tu mpendwa.

  Mungu huyu anayejibu maombi hana mfanowe!!

  Glory to God!
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  ni kawaida kwa mwanadamu kujiskia uko down at some point in lifetime. inaweza kuwa hali ya kupita tu.kama ni particular issue,take time to adress it.cheer up and smile gal,maisha ni mparaganyiko,kesho itakuja na mazuri mengi tu. hata Yesu akiwa hapa dunianii kuna kipindi alifadhaika,na hata kutokwa na chozi la damu.kama ww mkristo,psalms 23 inasema 'NIJAPOPITA (sio ku-park) KTK BONDE LA UVULI WA MAUTI,SITAOGOPA MABAYA...KWA MAANA W UPO PAMOJA NAMI'. so dont park there gal,count ur blessings and smile.
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  May 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Mungu anatupenda hata pale ambapo hatujipendi wala kumpenda yy.ndo maana Upendo wa Mungu si kama wa mwanadamu,hauna sababu.ndo maana while we were sinners,He loved u enough to die for us!
  </p>
  <p>&nbsp;</p>
   
 15. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #15
  May 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ndugu yangu watu sku kwanza hawataki kufa kabisa ktk hii dunia sasa cjui ww unawaza nn
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  May 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Why not pray this simple prayer and by faith invite God to fill you with his holy spirit

  Dear Father, I need you. I acknowledge that I have sinned against you by directing my own life. I thank you that You have forgiven my sins through Christ's death on the cross for me. I now invite Christ to again take His place on the throne of my life. Fill me with the Holy Spirit as You commanded me to be filled, and as You promised in Your Word that You would do if I asked in faith. I pray this in the name of Jesus. As an expression of my faith, I thank You for directing my life and for filling me with the Holy Spirit. Amen.
   
 17. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  AD I used to be thinking like u. lakini nikasema kwa nn nafikiria hivi, Mungu aliniumba ili niishi mpaka mapenzi yake yatimie.
  Fikiria kwa nn uliumbwa binadamu hapo utaona kwa nn unaishi duniani,
  na utaona maisha yalivyo ndio namna zake. don't be:disapointed: with life my dear
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  May 12, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  AD Whatever kinachokutokea usikipe nafasi kukuumiza...Life is how you make it and happiness is within your own reach. Treat yourself right as if it is nobody'd business.................. maisha ni mafupi kwa wewe kunung'unika darl
   
 19. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  sio wewe tu AD.. actually life ****s everyone
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Not unless something is going wrong!Tukutane pale dearest.....me wanna talk to you!
   
Loading...