Eti ni kwanini? Hebu tuambie... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti ni kwanini? Hebu tuambie...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Asprin, Mar 26, 2010.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,039
  Likes Received: 23,980
  Trophy Points: 280
  Mzee Mwanakijiji: Utastaafu lini siasa uanze mapenzi rasmi? Siasa haina kustaafu?
  Firstlady1: Mbona kasi yako ya kupost imepungua, Umeshaanza kwenda Kliniki?
  Geoff: Siku hizi umekuwa mpole sana, mshiki kakudhibiti?
  PakaJimmy: Kwanini hupendi kwenda kanisani mpaka Kwaresma ianze?
  Bigirita: Siku hizi umekuwa Premium Member, unamshauri nini Nyivonduma sir?
  Fidel80: Tangu ulipoacha kujiexpress, unahisi umemiss kitu gani?
  Carmel: Bado uko desperate kutafuta ile kitu au umefanikiwa? Mbona hutuambii?
  Kimey: Hivi ukilala bila kupata kileo unahisi utapunguza siku zako za kuishi?
  Kaizer: Hivi bila ku do the needful unahisi kiwango cha kupiga organ kitashuka?
  Mwanajamiione: Tangu ulivue pendo hujahisi kuwa unahitaji kulipanda tena?
  Bht: Yale mazoezi ya kupunguza uzito yamekusaidia chochote?
  Nguli: Unahisi bila freestyle muziki wa kizazi kipya bado hautanoga?
  Maria Roza: Unajisikiaje unavyowahamishia wapwa kwenye lile jukwaa lako?
  Noname: Hivi ukitumia kiswahili unahisi ujumbe wako hautafika unavyotaka?
  Akili Kichwani: Pearl mambo tayari au unaogopa wapwa wasikupoke? Mbona jii?
  Sipo: Unaonaje ukirudi mjini? Huoni huko uliko umeshafulia?
  Edson: Ile namba ya simu kwanini hutaki kumpa Kaizer? Unaogopa nini?
  Next Level: Kwanini unachanganya konyagi na club soda?
  Preta: Kwanini unaogopa kutembelea sehemu zenye baridi?
  Lily Flower: Kwanini umeamua kurudi Vodacom, Tigo imekuchosha?
  Nyamayao; Nimekumisi sana, martenity leave inaisha lini?
  Jerome: Hiyo avatar yako, hicho kidole kinamaanisha nini?
  Masaki: Huoni kuwa sasa unahitaji kumrudia Mola wako? Pombe imekushinda?
  Pearl: Hivi ni lazima uende kazini ndio uwe online JF?
  Baba Enock: Lini utanitafuta Viola Pub nikununulie bia baridi?
  Dark City: Umeacha tabia yako ya kupekua simu ya mkeo?
  Masanilo: Kwanini ulitoroka kwenye ile Rehab? Huwezi kulala bila kunywa?
  Shishi: Umeamua kufunga ndoa baada ya kupata kitambi? Ulitesti kwanza?
  Charity: Unaonaje ukiacha kazi unayofanya ukawa daktari wangu?

  Wengine: Mnahisi kwanini sijawauliza swali? Msijali: Leo ni Furahi dei, nina hangover!
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Naona kiongozi jana hukudumisha mila kabisa.
  Toka niache kujiexpress nimekuwa nakosa mambo mengi hata wachumba sasa sipati kabisa imekuwa kama gundu bado natafakari mara mbili mbili huu uamuzi wangu wa kustaafu kujiexpress maana mila zinadumishwa kwa taabu sana.
   
 3. bht

  bht JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  tena kama nimeloga vile
  nime-obase biggy
  tipwa tipwa, huwezi kutofautisha mbele ni wapi na nyuma ni wapi.......
  nimekuwa kitufe.....
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,039
  Likes Received: 23,980
  Trophy Points: 280
  Hehehe! Jasiri haachi asili!
  Najuta kwa kutokunywa valuu za kutosha jana. Kichwani hamna kitu kabisa!
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,039
  Likes Received: 23,980
  Trophy Points: 280
  Hehehe!
  Ngoja niongee na daktari wangu Charity. Ata do the needful!
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hii kesi nzito.......
  ngoja kwanza
   
 7. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2010
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  so long as siko kwenye list ... no cmnt!
   
 8. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Binamu 2010 niko kikazi zaidi nje ya JF ..kuna project zangu nafanya zinanichukulia muda mwingi labda 2011 kama mungu akijaalia nitaendelea na kasi yangu
  thanx Chispin
   
 10. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  heri mimi sijasemwa
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  halafu wewe....ujifunze kwenda vekesheni, kila siku kuishia kwa Eliza....njoo huku nyanda za juu magharibi tukupeleke johanesburg garden
   
 12. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Unajua kule mamndenyi tukishapata ngera na nyalo tumezoea kuhisi kuhoji kufoka maisha kufaana.
   
 13. T

  Tall JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Hujatuuliza kwa vile huna data zetu.
   
 14. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ???????????
   
 15. M

  Mzee wa Kale Member

  #15
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi na dawa daaa
   
 16. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Tutadiscuss faragha.Niko kwa ajili yako hilo ulijue mapema.
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha dah pole naona umeona usiku wa leo mrefu
   
 18. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Unahisi kwa nini?
   
 19. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sikupata na hivyo ikawa challenge kwangu kuangalia the other side of life ambayo i think i like it more. so it was a blessing in ...................
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,039
  Likes Received: 23,980
  Trophy Points: 280
  Hili nalo neno. Waiting!
   
Loading...