Kuwa mwaminifu kwa Mungu wako na mumeo/ mkeo pia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwa mwaminifu kwa Mungu wako na mumeo/ mkeo pia

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, May 12, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,300
  Likes Received: 22,097
  Trophy Points: 280
  Kwa kufanya hivyo tutaweza japo kwa kiasi kidogo kupafanya duniani kuwa ni mahali pazuri pa kuishi.
   
 2. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono 100%
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  aaah wapi.....hakuna kitu.....
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Naona bado unajutia kuchezea shilling chooni.....
   
 5. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Waweza kuwa muaminifu kwa mwenzi wako na mungu wako, tatizo akawa mwezi wako, usiusemee moyo
   
 6. c

  chetuntu R I P

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu ni kweli kabisa.
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,310
  Likes Received: 5,643
  Trophy Points: 280
  Yaani hiyo ni mbingu ma d ni wewe n mimi kutii amri za mungu na kusihi kama mungu anavyotaka tuishi na si wadamu wanavyotaka tuishi
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  May 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,300
  Likes Received: 22,097
  Trophy Points: 280
  ndio ulivyo fundishwa unyagoni?
   
 9. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #9
  May 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kabisaaaaaa! unakuwa mwaminifu maisha yako yote halafu mwenzako walaaaaaa
   
 10. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #10
  May 14, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Eti uaminifu bongo??
   
Loading...