Why did I get married? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why did I get married?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gaga, Jun 1, 2011.

 1. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Habari za jioni wakuu wote, hivi napenda kuwauliza wale walioko kwenye ndoa kuna wakati unajiuliza hili swali?? na badae unapata majibu yake?? na badae unajua kwa nini ulijiuliza??
  Binafsi katika maisha yangu ya ndoa kuna wakati najiuliza hili swali, ila ni pale napokuwa nimechukia sanasana na vitu fulani ambavo amenitenda....

  Hapohapo kuna wakati najikuta nina furaha sana na ndoa yangu.....na pia kuna wakati najiona the lackiest woman to be married with him.. nikiangalia kids ndio kabisa nabakia speechless....Pia kuna wakati nahisi napendwa sana kupitiliza na wakati mwingine naona vice versa.... All in all maisha ndivyo yalivyo kila siku sio jumatano au mwaonaje wakuu?

  Namalizia kwa kusema kua kila kitu kina uzuri wake na ubaya wake maybe tayari ushagundua ubaya bado uzuri na kinyume chake, cha muhimu ni kujitahidi kumfanya partner wako awe happy kila siku, mpe reason ya kuishi hapa duniani, mfanye aone bila wewe maisha yake yamefikia kikomo.
  Napenda kuwakilisha kwenu wakuu
   
 2. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  TUNASHUKURU KWA MAONI YAKO ILA MIE SIELEWI Hata nichangie nini maana ushajibu kila kitu....pole lakini kama nitakufanya ujiulize "WHY DID I CREATE AND SEND THIS THREAD"
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Gaga am telling you that is a million dollar question... Naamini comments na sababu za
  watu weengi zitakua very benefiting kwa tulio wana ndoa na wale wanaofikiria...

  Jibu zuri ni kusema love... maana wanadamu we believe saana in fairy tales..
  but most importantly ni kua kinachotufanya to stay married ni tofauti na kwanini mara ya
  kwanza ulifunga ndoa... kwa wenye bahati wachache they stay in love forever...
  lakini katika maisha yetu haya yenye pressing issues kibao inakua kazi saana kumaintain the vibe..
  Personally hapa nashindwa kuingia saana kwa sababu ambazo ziko nje ya uwezo
  wangu na wale wanao pitia hizi thread wakiunganisha one and one watajua the person
  behind the Avatar...
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Usijali we leta mauzoefu ushawahi kujiuliza hivi?
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Kwani Ndoa ni "Kifungo Cha Maisha"?
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ahsante AshaD uliyosema yameniingia vizuri tu, ndoa unayoifikiria ukiwa unakuwa mara nyiingi inakuwa tofauti, hivi ulishawahi ukiwa msichana mdogo kuota ndoa yako na harusi itakavyokuwa na ukiolewa utakavyoishi, ukija kuwa mtu mzima unakuta tofauti
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  wengi wanaoa na kuolewa ili jamii iwakubali

  kuna umri unaulizwa hujaooa tu?
  utaolewa lini?????

  wengi tuna ingia kwenye ndoa ili jamii iache tu kutuuliza......

  sio wote walio kwenye ndoa walitaka kuwa kwenye ndoa

  but wapo wengine wako happy na ndoa
   
 8. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  The boss hivi mtu kwa nini aoe sababu ya kitu fulani, yaani kuridhisha wazazi, au jamii huoni anajiumiza, r u happy kwenye married yako? ushawahi kujutia na ku wish usingeoa?
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Nashukuru Gafa dear in most cases hua tunakubaliana.... thank you for the thread... i bliv we wil get more point of views...
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mwaga razi bana sufuria haiogopi moto na askari haogopi mlio wa bunduki!
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  nawaona wengi
  as for me.....
  mhhh where do i start.....??.lol
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0


  Naam mara kibao tu.
   
 13. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 1,239
  Likes Received: 626
  Trophy Points: 280
  Kumbuka mpenzi siku ile pale kanisani tulipo kula kiapo mbele ya kasisi, wazazi wapande zote mbili na marafiki kuwa utanipenda kwa shida na kwa rahe,maradhi na afya,umasikini na utajiri ila mambo yote ya siri hutamwambia mtu.sintakuudhi tena.....nakupenda mpenzi.
   
 14. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  mi nimeoa kwa sababu haka kabinti nilipokatokea kila gia kalikuwa kanaikataa mpaka nilipokaambia nitakaoa
  kakakubali,but mpaka nilipotoa mahali na kuweka mambo hadharani ndipo gulipoanza kusafiri pamoja
   
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Ngoja nikae chini nifanye ile kitu inaitwa 're birth', with it akili yangu ita rewind taratibu,nitapata picha nzima ya maisha yangu kikiwemo kipindi cha kufukuzia,ku win,kuoa,mwanzo wa timbwili,talaka,kupenda tena, kuoa,valangati,talaka tena...............another circle......well ....well....nikimaliza hilo zoezi God willing nitarudi kwenye uzi huu,in the meantime good evening Gaga and the rest of the members mliopo kwenye hii thread.
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  wengi wanaoa for sex tu....
  sex ikidorora na ndoa ina dorora
   
 17. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,056
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hapa ndo tunaona tofauti kati ya wanaume na wanawake. Who Cares, Gaga hakuwa anataka solution na siamini kama anatatizo, yeye alikuwa anataka kujieleza (maisha ya ndoa) na anategemea wengine (watakao mwelewa) watoe uzoefu wao katika ndoa. Naelewe ni vigumu kuelewa kwasababu sisi wanaume hatuko wired hivyo.
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Bishanga maneno yoote yale hujaridhika! Go read again...lol
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Hakikisha once you deliver you deliver it all... waiting patiently...
   
 20. Uda'a

  Uda'a JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2011
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 221
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata sina hakika....

  Mi kwa kweli siku akinikwanza huwa najiuliza hivi huyu mtu nilimtoa wapi?? Tena huwa namuona mbayaaa mhh

  Tukiwa kwenye raha zetu namuona bonge la handsome, najivunia kumpenda. Hahahha

  Niliingia kwny ndoa kupenda mwenyewe na shukuru vikwazo ni vichache sana kulinganisha na upendo.
   
Loading...