Hii sasa ni zaidi ya ukame, Jamani kutoswa kubaya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii sasa ni zaidi ya ukame, Jamani kutoswa kubaya!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gagurito, May 8, 2011.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mwenzenu ni mwezi wa 7 sasa toka shemeji yenu na mimi tulipositisha mahusiano yetu ya awali. Ktk kipind hcho cjapata mpenz mpya wala kushiriki tendo la ndoa na mwanamke yoyote. Hapa nilipo nina magundi/mapatex ya ukweli, ukame umenitawala. Nishauri nifanye nin pls coz imefika hatua natamani nika purchase mlupo unipoze!
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Will be back after a short break....
   
 3. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Jamani wakat wakina Mwaisapile wakiumiza vichwa na kutolala usingizi kusubiri kuoteshwa wengine mko bize kusitisha mahusiano ya "awali"...shauri yako bwana...kachonge mgomba!
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Miezi 7 tu ndo unalia???Embu pumzika hisia ulizokua nazo kwa ex ziishe....
  Kama ni mpenzi utapata mpya baadae....huko kwingine ukienda kununua magonjwa hakikisha pesa ya kukuuguza Na kufanikisha mazishi ipo ili usije ukabebesha watu wengine mzigo ulioutaka wewe!!
   
 5. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe acheni uchoyo, saidieni hiyo kijana iko hali mbaya aisee!
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  May 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hivi Nyeto imepitwa na wakati?
   
 7. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  :pop2::tape:
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ndo ushauri wako kwa Gagurito my dear? mpe advantage na disadvantage basi ili afanye akijua.....!!!:bange:
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  May 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  haya kaa makao wa kula kabisa sasa ngoja nimjibu Michelle...
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  miezi saba si mingi kiivyo....endelea hadi upate anayekufaa!!!

  naelekea kuamini kuna wanaume wanakuwa kwenye relatioshi for the sake of SEX only!
   
 11. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hivi nyinyi wadada ndio mmekosa huluma kiasi hiki? jamaa ana miezi saba hajasugua sumaku halaf nyinyi hata hamfikilii kumpa at least denda? khaaa! halaf wanasayansi wanasema ule mkongojo kama haujatumika miezi kumi unajiminya kinyemela, jamaa kabakisha mitatu tu. Alleluyah!
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,587
  Likes Received: 82,207
  Trophy Points: 280
  Mhhhh! AD! direct to the point! hahahahaha lol!

   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We huna dada au hata binamu umuunganishie????
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hili lisredi sichangii.
  Reason:limenizidi umri.
   
 15. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Maadam Michelle ulipotea sana Mkuu...ukweli ni huo bt kuna wawili watatu ambao been in hizo stuff anaangalia maisha zaidi...
   
 16. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  alivyokuwa mdogo kingejiminya angekuwa nacho leo??? au Kloro wataka sema watoto wa kiume wakiwa na miezi hadi miaka 10 wanafanya sex?:bange:
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nipo mkuu,majukumu tu kidogo.....mpe ushauri nduguyo!
   
 18. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  khaaaa!
   
 19. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  unajua unaongea na nani? hapa unaongea na professor wa mzumbe university, from my CV, I can tell ur DNA just by smelling ur neck. sitofafanua zaidi kwavile nahitaji sredi nzima kuelezea hiyo mkongojo retardation.
   
 20. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Sio mchezo mbona michache sana hiyo:bange:
   
Loading...