Upendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upendo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KAKA A TAIFA, Jul 20, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  MAPENZI YA DHATI HAYACHAGUI RANGI,DINI,SEHEMU WALA KABILA.ILI KUTHIBITISHA HILI WAPENZI WAWILI WALIOKUWA WAOANE IKIWA IMEBAKI WIKI MOJA TU BIBI HARUSI ALIPATA AJALI AKAFA GANZI(PARALYSE) KUANZIA KIUNONI MPAKA MIGUUNI.AMEKUWA MGONJWA WA KUDUMU LAKINI KWA MAPENZI YAO YALIVYOKUWA MOTOMOTO SASA WATAOANA IJUMAA YA WIKI HII,JE WANGAPI WABONGO WANAWEZA HILI?[​IMG][​IMG]
   
 2. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  mh kuanzia kiunoni? Sasa hata kule kwenye raha si kutakuwa kumekufa ganzi? Ataenjoy vipi?
   
 3. S

  SmithG Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tupo wengi tu.
   
Loading...