Kwa wanaofunga ndoa/marafiki

Lyehagi

Member
Dec 10, 2010
19
13
Hivi unapokuwa unajiandaa kufunga ndoa wewe bibi arusi, halafu ikatokea mshenga wa bi Arusi ni mrembo zaidi ya bi Arusi inakuwa vipi, utajiskiaje????
 
Jf bana raha tupu! Hivi mshenga ni nini? Anafanya kazi gani?! Kumbe bibi arusi naye anakuwa na mshenga!
 
There are so many beautiful women around the world acha hapa tz tu! So as long as umefikia hatua ya kuamua kuoa/kuolewa umekiri kwamba upo tayari kuachana na matamanio mengine yote na unae muoa au kuolewa nae ndie chaguo lako! So mshenga awe sura ndina au awe mzuri IT SHOULDNT BE UR CONCERN!
 
Back
Top Bottom