Mpenzi wako kwanza.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpenzi wako kwanza....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Shagiguku, Jul 20, 2011.

 1. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 399
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Je, unakumbuka siku ya kwanza ku-do na mpenzi wako...???

  Je, ulijisikiaje baada ya tendo....??

  Je, unakumbuka siku ya kwanza mlifanyia wapi...??

  Je, unakumbuka mlikutana naye wapi kwa mara ya kwanza na kuanza mahusiano naye...?

  Je, unaendelea kumpenda hadi sasa...?
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,316
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Una hatari wewe....
   
 3. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,220
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ndio nakumbuka.
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mmmmh! We shagi wewe maswali yako.....!
   
 5. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,722
  Likes Received: 1,225
  Trophy Points: 280
  Ukimwi upo....................
   
 6. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 399
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  umenishangaza hapo kwenye kijani. Mmmmmmhh...!!!
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,926
  Likes Received: 5,080
  Trophy Points: 280
  sikumbuki
   
 8. chavka

  chavka Senior Member

  #8
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Asie kumbuka huyo moto chini kweli. na hakuna ambae hakumbuk maana wanadamu 2nahifadh machafu kuliko mema
   
 9. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,296
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  sijawahi ku do, mi bado bikra na nina miaka 75. Nitapata ambae yuko bikra kweli?
   
 10. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,792
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ukijua itakusaidia nini!sidhani kama kuna umuhimu wakujulishana,au kukumbushana.
   
 11. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nakumbuka wakati ule unga wa mahindi ulikuwa sh 300 kilo, sukari ilikuwa 400 sh kilo, mafuta ya taa yalikuwa 250 lita, mkate ulikuwa sh 150, nauli daladala ilikuwa sh 100 tu, dola 1 ya marekani ilikuwa shilingi za tz 1000, ndio naweza kukumbuka ilikuwa wakati huo. lakini toka aingie mr. journey mpaka nimesahau maana vimepanda mno hata mapenzi ndani ya nyi=umba yanapungua.
   
 12. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,001
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Enzi hizo kwnye kombolela .....nilimchapa nao kwnye jumba bovu.
   
 13. k

  kisukari JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,562
  Likes Received: 798
  Trophy Points: 280
  nyinyi wananume nyinyi,mmmh.maana maswali mengine,mmmh
   
 14. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hahahaha! wa kwanza hasahauliki japo alikukera kupita kiyasi lazima ukumbuke ndio alokufunzaa maji usiite mma,shagi na ww unamambo yakichimvi hasa ulikumbuka nini au wako wakwanza kapita roho ikakupiga kidogo?
   
Loading...