Mashoga na wasagaji ndani ya tansoma hotel

SMART1

Senior Member
Nov 2, 2010
133
48
Kwa habari nilizozipata just now,
mashoga na wasagaji wa Tanzania wako kwenye kikao cha kujadili haki zao ndani ya ukumbi wa mikutano uliopo Tansoma hotel.
THIS IS TOO MUCH
 
Nadhani mtowa taarifa anaweza kuwa mmoja wao! ama msagaji au shoga au hata ana shoga wake ndani ya kikao!!
 
Tansoma a k a Tanzania Somalia ya wale maharamia wa kisomali.
 
Kuna mdau amefikia kwenye hiyo Hotel ndio amenipatia habari hiyo. nimeambiwa watakuwepo hapo kwa wiki hii yote
 
Arafat, niwie radhi ndugu.... hakuna kitu ninachochukia kama kuona mwanaume anaendewa kinyume na maumbile. Ni taarifa tu nimeona niwashirikishe. So heshima kidogo hata kama mtu humjui.....

Samahani sana Mkuu; naomba ukubali kunisamehe SMART1; nilikuwa najaribu kukutibua nijue umefahamu vipi hizi habari za hawa punguwani Pole kama nimekukwaza.
 
Ahhh well kuwachukia hakuongezi wala kupunguza chochote.Wapo na wataendelea kuwepo kwahiyo waacheni tu wajitetee....hata waaAfrika walivyokaa vikundi kupanga jinsi ya kujikomboa na kutafuta haki zao dhidi ya mkoloni wazungu waliwabeza na hawakufurahia.
 
Yaah this is a mix grill! Wabunge wakimgalagaza Ngereje alete umeme na haki za wachimbaji wadogo, mashoga na ******* nao wana vikao vyao!

Nilikuwa napita tu!
 
Back
Top Bottom