Past katika mahusiano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Past katika mahusiano?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Jul 19, 2011.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wapendwa wanaJF
  Salamu.

  Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia hii misemo na ushauri kuwa unapoamua kuingia kwenye mahusiano mapya, unatakiwa usimwuulize, wala usiangalie past ya mwenzi wako! Hapa nazungumzia mnapoanza mahusiano yenu. Na wakati mwingine hushauriwa kuwa Maisha yenu wote wawili katika umoja wenu huo yanaanzia pale mlipokutana.

  Najiuliza ili uidefine kuwa hii ni past ya mwenzangu na sitakiwi kujiumiza nayo, haitakiwi kuniworry, unaanzia wapi??
  Mwaka?, miezi? wiki?

  How past is the past?
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,658
  Trophy Points: 280
  Kwanza jiulize kwanini unataka kujua?Ungeuliza kabla ya kuanza mahusiano,kuwa kwenye mahusiano ni kuonesha kuwa umemkubali kama alivyo!Kibaya zaidi ni dalili ya kutokujiamini!
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksante sana Elyer nakubaliana nawe 110% .....unaposema hutaki kuifahamu hiyo past........ina maanisha hutaki kuyajua ya zamani kwa kishwahili..........lakini hiyo zamani inaanzia wapi? Samahani ninapenda kutoa mfano kwa jambazi na changudoa. Kama mpenzi ulonaye sasa hivi zamani alikuwa jambazi...............ili uitupie kwenye kundi la past......inatakiwa iwe kuanzia muda gani? Kama alikuwa jambazi maiaka miwili ilopita, miezi sita au? au kuchunguza hilo nalo ni kudeal na past?? mwe
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  IMO kutaka kujua past relationships za Mpenzi wako ni dhahiri kua kuna kitu kinakusumbua kichwani mwa muhusika (mtaka kujua) ambacho kinaendana kabisa na kuweza vunja amani yake/hata mapenzi pia…. Mapenzi meengi ambayo wengi wamepitia kwa kiasi kikubwa vinatakiwa viwe buried sababu ilisha pita… haina umuhimu… kama tatizo afya – chukuaneni mkapime, BUT ndio kuna situations ambazo lazima uelezee kuhusu ex-mpenzi… Na hizo ni kama labda umezaa na mhusika, ama mhusika yuko anga/eneo moja au kugongana mara kwa mara ili tu mpenzi wako mpya asiwe at a disadvantage anapokutana nae… haipendezi ex-mpenzi anajua you a currently sleeping na huyo hali wa sasa yeye haelewi kua you have slept before… akitambua hujisikia vibaya mno! Na asiipo jua aweza kejeliwa na ex wako bila yeye kujua…

  JE is it good to say you past exes?? YES… Only If necessary… kumbuka tu ukilazimisha unapata a Super edited version… huwezi ukawa wazi na kusema labda nilibakwa na mjomba (na hio ni family secret..) huwezi ukaanza kusema nilipo kua chuo for fun mimi na my best friend tulikua na a three some one nite… n.k… labda kama huyo mtu hamko serious!
   
 5. charger

  charger JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Inategemea unataka kujua past ipi past nyingine ukizifahamu zitakusaidia kum handle mpenzi wako,mfano kuna mambo aliyapitia na yaka muumiza so wewe ili usije rudia the samething unatakiwa ujue.

  Lakini pia zipo past ambazo hazisaidii kitu hata kama ukizijua.Hizo ni za kuachana nazo
   
 6. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Na wewe ugly past yako umeiweka wazi kwa mwenzio; nakushauri kabla ya kutaka kujua mufahamishe mabaya yako yote basi ili mwende sawa ikibidi
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ashadii aksante so kuna past ya kujua na past ambayo si vema kuijua!! Nimependa huo mfano wa sleeping with another person ambaye pertner wako wa sasa anamfahamu mh.....kuna mtu alishaleta mada hapa kuwa alishawahi kuwa na mahusiano na shemeji wa mpenziwake huko way back.......hii nadhani kuna umuhimu wa kuangalia namna ya kumfikishia ujumbe mpenzio.....

  Swali langu lipo kwenye kama umeamua ku-tell ndio ulishafanya haya.......ili mpenzi aichukulie ni past inatakiwa iwe ya muda gani? Mfano alowahitembea na shemejiye mwaka uliopita, mwezi uliopita au wiki tatu kabla ya kukutana na huyu.......hizi zote zinaingia kwenye past?? Na kama akiamua kutell, mpenzi anapaswa kuzichukulia kama ni past zisimuumize kichwa na wala asizitumie kumjudge mwenzie??
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana nawe Inko, aksante hata mie ninaamini kuna past na past za kutell na not to tell.
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  MJ hii post inalenga pande zote mbili naomba unielewe hivyo!
   
 10. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  ow ok MwanajamiiOne; historia yenu ni kitu muhimu na kikitolewa kwa hiari kwa wakati muafaka lakini pia isiwe ni ada ama lazima baina yenu na kabla kutaka kufamishana lazima malengo ya kutaka kufahamau yawe wazi..............kwa afya yenu nyote wawili
   
 11. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  from the minute you start talking all the way back to when he/she was born is his/her past.
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Ngoja nimsubiri Mbu aje hapa na mapicha yake ndo ntaielewa hii sredi vizuri.........
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  [​IMG]...kwa mtazamo wangu, the past haina ulazima, unless Ex-s bado wana fit kwenye Ring1, Ring2 na Ring3 of the driver. mfano; ...iwapo Ex's wangu ni JF member, naamini ni jukumu langu kumtahadharisha JF Partner wangu awe muelewa. Same applies kwenye circle ya watu mnaokutana nao kila siku. Hii itasaidia kuondoa zile unforceable "uncomfortable" moments.

  Only the truth, and nothing but The Truth will set you free.
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Katika mapenzi unatakiwa ujifanye sikio la kufa ambalo halisikii dawa ukianza kukumbuka hayo
   
 15. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  binafsi, i don't wish to hear her past stories or tell her mine..what's important is that m with her, that's what counts
   
 16. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...tayari, ushaiona hiyo?...lol! narudi kulala, jana nimekesha kutafuta donors bila mafanikio!
   
 17. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Depends if that past determines your future:-
  • Love life..., hata ile past ya seconds kabla hamjakutana inabidi isikusumbue sababu mahusiano yenu yanaanza pale yalipoanza na ya huko nyuma yatakuumiza bure sababu you were not in the picture
  • Kama ni matatizo ya akili, ugomvi au jambo ambalo linaweza kuwa-affect nyote wawili kwenye mahusiano yenu ya mbele basi hapo inabidi mwenzako ajue... ili awe better prepared
  In short yale yote ambayo yanaweza kujenga uhusiano wenu yawekwe wazi na yale ambayo yanaweza kuweka nyufa kwenye mahusiano yenu should remain in the past where they belong........
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Nimeshaiona, naamini mjukuu wangu ameshakuelewa kwahiyo tunaweza kuifunga hii sredi LOL
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Past MJ1 in my opinion ni toka the moment mmekubaliana rasmi kua mahusiano yameanza...
  yaaani from that dakika onwards... ya jana/juzi/majuzi yoote ni past yako...
  Thus zoote ulizo taja IMO ni past.. maana suala liko pale pale kua ni kabla tu yake...  MJI mpaka huyo mpenzi kataka kujua your past (maana sidhani kama mtu anaweza amua tu rusha topic kwa mpenzi ya exes bila kuulizwa) Ina maana tayari inamuumiza kichwa.. hivyo haiepukiki... Na mara nyingi saaana mtu anae taka jua ni yule ambae labda anaona kama vile yuko way below/above your league... au labda kasikia romours kuhusu your past or ex... au kuna jamaa karibu anahisi kisha wahi pita... n.k but haianzi tu from nowhere... Sijui nimejibu sawa?? (on the basis of your question...)
   
 20. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...Binafsi, nakuwa na tahadhari 'na tetemeko linaloweza sababisha mlipuko wa volcano!' Kuna past ambazo ni bora kuzielezea kwa njia ninayojua mwenzangu atanielewa aka akiba ya maneno. Tatizo linakuja kwenye utambuzi, na uelewa...kila mtu ana maamuzi yake. The past can be infinite...Busara ni kukubaliana na msemo 'yaliyopita yamepita, huwezi badilisha!' La msingi ni kujiepusha yasijirudie. Mfano; huo Ujambazi, Uchangudoa,...i.e zile tabia zinazobadilishika.
   
Loading...