Upatapo safari, umuacha/unamwaga vp mpenz/mke/mume wako?

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
wenye experience ktk hili tusaidiane... eti upatapo safari either ya kikazi, kifamilia au binafsi zinazokulazimu usafiri kwenda mbali au nje ya mkoa humuagaje mpenzi wako? vipi? Kwa stail gan? I mean ipi ni njia sahihi ya wapenzi kuagana tayari kwa safari? Je kuna universal style of saying goodbye to ur loved one tayiri kwa safari? coz mwengine hukiss, kukumbatiana,sala, kushikana mikono etc. Tujadili tukiwa huru!
 
Lazima mpige game la uhakika usiku kucha, kisha unahahakikisha unaacha mshiko wa ukeli then a short kiss when u r leaving
dah! Nimekupata mkubwa, style yako ya kumwaga bibie sina mashaka nayo, hebu ngoja tuwasikilize wadau labda wanakipya cha kutufunza/kutujuza pia!
 
Kubwa kama 2lio oa 2na mtanguliza sana mola kwanza awalinde pindi ukiwa haupo game siku ya kulalia safari hali nogi kabisa coz ni sad day. hakuna raha ndani ya moyo
 
Kubwa kama 2lio oa 2na mtanguliza sana mola kwanza awalinde pindi ukiwa haupo game siku ya kulalia safari hali nogi kabisa coz ni sad day. hakuna raha ndani ya moyo
Ibada safi sana na ni mhm katika sala!
 
Maswali mengine bwana kama tuko primary skuli ..dah ...kwa heri mke wangu mme wangu mpenzi wangu ,small house wangu ..mungu akijalia tutaonana .keep well teteteteh usinisaliti eeeh ,
:happy:
 
Maswali mengine bwana kama tuko primary skuli ..dah ...kwa heri mke wangu mme wangu mpenzi wangu ,small house wangu ..mungu akijalia tutaonana .keep well teteteteh usinisaliti eeeh ,:happy:
Firstlady teh! teh! Unaogopa kusalitiwa teh? huwa unamuaga kama afanyavyo Humpy hapo juu?
 
wenye experience ktk hili tusaidiane... eti upatapo safari either ya kikazi, kifamilia au binafsi zinazokulazimu usafiri kwenda mbali au nje ya mkoa humuagaje mpenzi wako? vipi? Kwa stail gan? I mean ipi ni njia sahihi ya wapenzi kuagana tayari kwa safari? Je kuna universal style of saying goodbye to ur loved one tayiri kwa safari? coz mwengine hukiss, kukumbatiana,sala, kushikana mikono etc. Tujadili tukiwa huru!

KAWAIDA TUU SIO ISSUE KIIVYO KWANI VIPI OFISINI WAMEANZA KUKUPA VITRIP NIni??UNAJIPANGA EEH
 
Hivi kwanini kwenye relationship huwa tunaonyesha kuwa na wasiwasi kiivyo? why kutojiamini hivyo?eti nisipompa gem la kutosha jamaa watanisaidia au nisipompiga mkwara wa nguvu atamegwa na jamaa! why kujenga fikra kama hizi mawazoni mwako?
 
Nzuri muombe mungu/mkabidhi kwenye safari nzima then ombea familia yako unayoiacha then mambo mengine like kiss+and everything
 
Hapo bwana kwa kua kila mmoja ataimiss ya mwenzie, cha msingi ni kuangusha kipute cha kufa mtu, kiasi kwamba mpaka dk 90 zinaisha, kila timu ina magoli ya kuridhisha tu
 
Back
Top Bottom