Jamanii nisaidieni

mkulimamwema

Senior Member
Apr 14, 2011
153
18
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 26(nipo chuo),sijawahi kufanya ngono tangu kubalehe sasa nahitaji ila nashindwa kumpata mtu sahihi wasichana wawili niliwapenda kwa wakati tofauti wakanikataa,kwa sasa siwezi vumilia tena naomba ushauri na msaada wenu
 
mkulimamwema..nakushauri utulie umwombe Mungu akupe mke mwema kama wewe.Umri wako unakuruhusu kuoa kabisaa.
 
mmmh! Naona uende kwanza mitaa ya Ohio au kinondoni ukajifunzie huko ubazazi,ili kichwa kipate akili ya kufikiri
 
Kama umefikia umri huu 26 na hujawahi mega, Subiri uoe maana ukianza sasa itakula kwako. Ninavyojua mimi, utakuwa hupitwi na kiumbe yeyote anaeitwa mwanamke. Mwisho wake utaukwaa.
 
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 26(nipo chuo),sijawahi kufanya ngono tangu kubalehe sasa nahitaji ila nashindwa kumpata mtu sahihi wasichana wawili niliwapenda kwa wakati tofauti wakanikataa,kwa sasa siwezi vumilia tena naomba ushauri na msaada wenu

Sasa unataka ushauri gani?? Hapo kwenye Blue, au kwenye RED?? Umeweza kuvumilia miaka yote hiyo mpaka 26..
Wako wanaokaa hadi 35, wengine hadi kifo..

Tulia chini, punguza mawazo ya ngono, zingatia masomo, zaidi sana endelea kumuomba Mungu, naye kwa wakati sahihi atakuweza umpate yule ambaye mtapendana siku zote..

Usijifikirishe sana mambo ya ngono, yatakupotezea dira usipokuwa makini. Subiri uoe tu..
 
Yaani wewe unafikiri sisi kaka zako tunaofanya tunafaidi eeh?!!,
Kamsikilize Mwana-FA kwenye wimbo wa ''Bado nipo nipo kwanza'' ndo utawaelewa hawa viumbe unaotaka kuwarukia wakoje!!
 
Back
Top Bottom