Wakuu,
Takribani siku 30 zijazo sitakuwa na access na Mitandao ya Internet - Naenda kwenye "Retreat" Parokiani kwetu - Kabashana
Kwa kipindi hicho chote itakuwa ni kufunga na kusali masaa 24...
Sifa za mdada nimtakaye:
= awe ana umri wa 29 backwards
=elimu at least form four
=Rangi yoyote ya asili yake
=dini: mkristo
=Kabila: lolote
=Tabia njema ana mpenda ndugu zangu na nduguze kwa...
wahenga wa jukwaa hili nina shida moja nahitaji msaada wanu.
leo nina game moja ya mchangani na nimeikamia sana.
nataka kuongeza nguvu kidogo ili nipige round za kutosha.
ni wapi naweza pata...
NIMEFANYA ANALYSIS NIMEONA KWAMBA, WADADA WENGI WA KICHAGA NA WAPALE WAPENDA SANA KUOLEWA NA WAKAKA WA NYANDA ZA JUU KUSINI na KANDA YA ZIWA,but wakishaolewa na kupata mali zingi nakuzaa mtoto...
ni kawaida watu wengi hata hapa jf kuzungumzia faida za kuwa na mpenzi
na hasara za kutokuwa nae.....
pamoja na yote mtu anaweza kuamua kuwa single kwa maana ya kutokuwa na mpenzi
lakini mara...
huu ni utafiti wangu binafsi lakini una nafasi ya kuupinga au kuunga lkwa hoja.
watu wengi wanateseka sana na mapenzi na unakuta mtu anampenda sana mtu ambaye hampendi na anaishia tu kuumia na...
Tumepokea Taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana.. Iwaje mtu umuue mwenzio tena kinyama na Shoka kisa umepunjwa kitoweo Jamani Tunaenda wapi?.. na kwa mtindo Huu tutafika? Basi Bofya hapa usome...
Natafuta mchumba mwenye zifa zifuatazo....Awe na Elimu kuanzia 4m four,awe na kazi ya kuweza kutulisha wote wawili na watoto hapo baadae,awe ni mwanamke hiyo tisa kumi awe mwaminifu na...
habari zenu wana-jamvi!
Eti unawezaje kumshauri mtu jinsi kupunguza hasira(i mean kukasirika haraka au hasira kali) na kuwa na wivu kupindukia hasa ktk mapenzi??..nawasilisha.
Mwananchi Jpili 17 Julai 2011. Mwanamke mwenye saloon ya kike na ambaye ni mkali wa judo ambaka mwanaume kwa siku tatu mfufulizo katikia chumba chake. Kwanza alimpiga judo mpaka huyo mwanaume...
Katika maisha hapa duniani, yakupasa kutambua ya kwamba
Mungu yupo kwa ajili yako na wewe upo kwa ajili ya utukufu wake
usiwe mpweke
usijilinganishe na wengine, wewe ni wa kipekee,jikubali jinsi...
Can 'friends with benefits' work?
First posted: Thursday, July 21, 2011 2:00:00 EDT AM
What happens to the friendship when beers with a buddy turns into bedroom fun?
As yet another...
Jameni,
Am currently going through a tough time. I had no idea how women felt like wearing thongs every day of the week.
You see, I was caught red handed by my live-in girlfriend of one and a...
Baada ya kuwa mywaji wa BIA kwa takribani miongo minne huwa najiuliza ni kwanini mtu anakukuta baa - hujamwalika wala hajakualika mnasalimia anakaa meza yake na baada ya muda anakuagizia kinywaji...
Mambo jf, ninarafiki angu ana boyfrend wake ni mlemavu na wanapendana sana,(kwa maelezo yake lkn)na urafik wao una 2 years mpaka sshv,boy amempa mimba huyu myfrend na anataka achukue jumla ttzo...
Jamani JF hebu nisaidieni,kuna mke wa mtu ananipenda, yaani kanitamkia mwenyewe kwamba nafanana na mumewe aliye masomoni nje ya nchi. Nilipomuuliza zaidi anataka nini akaniambia kwamba nimpe...
Najua wengi wetu mmeshawahi kushuhudia au kuishi ndani ya single parenting ama maisha ya magomvi muda wote .namaanisha kuwa mzazi kati ya migongano ya kimahusiano .
Mimi (ex. st) RR nawashauri...