Hii hali imetokea maeneo ya Muheza bibi harusi alishikwa uchungu kanisani na kujifungua wkt ibada ikiendelea.
Mwandishi Wetu, Muheza
BIBI harusi aliyefahamika kwa jina la Mariam Shabani...
Masturbating man reported for 'moaning louder than an animal'A man has been reported to the authorities by his neighbours in Malmö after they tired of his noisy masturbation habits, which they...
ndugu zanguni ma greater thinkers,napenda kuwapongeza kwa kazi yenu nzuri hapaa jamvini.samani kama nitakuwa nime mkwanza mtu au nime weka post sehemu sio ila naamini hapa ni sehemu ya marafiki...
Hello jf!ebana,yan me kati ya wasichana wangu wote nlio na uhusiano nao,anae nichanganya zaidi ni kicheche,yani huyu hata 2kiznguana kidogo bac me nitajishusha yaishe,huyu ndo nina hisia nae,huyu...
Wandugu mwenzenu nimetokea kumzimia mdada mmoja vibaya.na yeye anajua hilo,sasa celewi kwa upande wake ni hivyo au la..tatizo lingne ni kwamba yuko mbal na ninapoish yaan mkoa mwingne.na nikimtaka...
Habar JF!
Siwezi sema nawachukia ila nimesema nimewaona rafiki zangu mpaka wengine hunipigia simu niwashauri. Huku europe ukiwa nae mpenzi huwezi kuwa na stress kwa kuwa anakujali na wewe...
Natumaini wana JF wote muwazima. Mojawapo ya mambo yanayonivutia katika maisha ni kusafiri nchi, ama sehemu mbalimbali na kuiona dunia na kujifunza mengi. Vilevile napendelea sana mambo ya...
Wana jamvini ripoti pokeeni.
Kwanza kabisa nashukuru sana kwa ushauri wenu-yote yenye mitazamo tofauti, kwa kweli imeniwezesha kujitazama upya kama tatizo na si kumwangalia mtu mwingine. UAMUZI...
Habari zenu wapendwa!
Leo naomba niwaulize swali.Umekutana na mwanamke/mwanaume ambae aliwahi kua kwenye ndoa na anakwambia bila maelezo ya ziada!Baada ya kua karibu sana unaona uulize kidogo...
Nilikua naangalia kipindi cha wanawake live wiki hii chanel 5,
nikakutana na maneno kuwa mashuga mami yanapofanya mapenzi na serengeti boy wanawanyonya damu
kwa sababu ya tofauti ya umri wao...
Hongera kwa kazi kwa ww unayesoma hii post kwa sasa. Kwa kweli mm binafsi nashangazwa na tabia ya mpz (mke mtarajiwa) wakati tuwapo tumelala ktandan mwenzangu huwa swala la kulala upande wa...
Imepita miaka kama mitatu hivi niko katika urafiki na bibie lakini hatujawahi kuwa wote kwenye 6 x 6. Mara ya kwanza nilipanga naye lakini baada ya kupata kilaji sawasawa mi mwenyewe niliondoka...
Jamani wadau hii imekaaje katika mahusiano?Eti ukiwa na mpenzi wako(she) halafu kwa hali isiyo ya kawaida ikatokea maporomoko ya hapa na pale ,then yeye akaanza kukupiga mkwara usiiguse simu yake...
Ni siku ya watu wanao tumia mkono wa kushoto (mashoto or left handed).
Nakumbuka nirafiki yangu alikua akipigwa sana na mwalimu pale
alipokua anaandika kwa kutumia mkono wa kushoto,au akinyoosha...