Nimewahi kuja mbele yenu, kwa heshima zote nikitafuta mwanamke wa kuoa sikfanikiwa, narudi tena kujaribu bahati, nikasema ni lazima awe ni mwanamke mzuri, mwenye shape ya kuvutia sana, asiye na...
Nina jamaa zangu wawili ambao wako kwenye ndoa, mmoja ni zaidi ya miaka tisa,lakini hawajafanikiwa kupata mtoto.Japo hawasemi lakini kwa kuwatazama na jinsi watu wanavyonong'ona penbeni...
Ingekuwa inawezekana kurudisha nyuma miaka na ukaweza kurudi mpaka muda kabla hujaoa ama kuolewa; Je ungeoa/ungeolewa? na kama ungeoa/ungeolewa, je ungekubali kuoa ama kuolewa na mwenzi wako uliye...
Jana nilipata pm kutoka kwa jamaa yangu akiniuliza,kuna wana MMU humu kama wakifunga ndoa itakuwa yenye kuvutia,lakini pia wapo wengine wanavutiwa na watu humu,je wewe ungependa kama nani...
Hiki ni kipindi ni ambacho wapendanao ukiwaambia wakae kwenye kiti chenye misumari kibao yaliyosimama kuelekezwa juu watakaa bila wasiwasi wowote na pia hawatahisi maumivu ya michomo.
Mapenzi...
Poleni na hili sakata la mafuta wanajamiiforums, mimi nna swali moja naomba kuuliza. Hivi uongo una nafasi gani kwenye mahusiano, au ni kweli kwamba wakina dada wengi wanapenda kudanganywa?
This is a true story told by my closest friend. Names have been changed to hide identity since there are people who knows the story
This is for my friend, and also for me. I love you D...
Habarini Wana Jf
Hili imebidi nililete hapa kulichangia kuona kama kuna ukweli wowote! Leo nikiwa lunch sehemu flani nzuri sana nilikuwa nimeketi karibu na group (nafikiri ni watu wanafanya kazi...
The link below raised a heated debate among my colleagues. Is this benefiting the girls or the selfish men?
British girls undergo horror of genital mutilation despite tough laws | Society | The...
Ndg wana JF
Najua wengi mna hasira kali na mgomo wa wakubwa wa mafuta.
Lakini naomba mchukue dakika zenu chache mnishauri.
Kwa kawaida nikitenda dhambi huwa naandikaga mahala ili kuepusha...
Sasa tukiangalia baadhi ya topic zetu mbalimbali na attitudes zote kuhusiana mahusiano kuna uwezekano taarifa hii ya Unicef ina ukweli.
Tanzania study shows one in three girls sexually abused...
Kila mtu anajua nini haswa kilichomvutia/mpendeza hata kutaka/kukubali kuo/kuolewa au hata kua na mpenzi aliye nae.Hata wale ambao hawana wapenzi wana idea ya nini kinachoweza kumvutia kwa...
habari zenu!
Ninae jamaa yangu anae friend wa kike ambae amekua akishauriana nae kuhusu maisha. Lakin amekua akilalamika kwa tabia zake huyo dada...amekua akimlazimisha mara kwa mara ampe pesa za...