Mwanaume kutoka nje ya ndoa

naomba kuiliza hivi mwanaume kwa nini anaenda nje ya ndoa na siyo na mwanamke mmoja wengi tu,na mke anampa kila kitu (starehe) na kumridhisha na kumpenda kwa dhati lakini mwanaume ndo hatulii y y y ?

Kwani babu yako alikuwa na kina bibi wangapi? Baba yako je ana watoto wangapi wa nje ya ndoa? (kama mamam anao ni siri yake hata kama ni wewe maana siku itakapojulikana safari ndio inaishia hapo). Ulliwahi kusikia bibi akiwa na babu wawili? Au mama akiwa na wanaume wawili?.....
 
mbona na wanawake wanatoka nje ya ndoa,...labda hapa ndio tuanzie safari hizi za kutuhumiana,
 
Duh!Anyway nina majibu binafsi lakini ngoja nisubiri walioko kwenye ndoa waje waseme shida inayowapelekea wafanye hayo!
 
tuko pamoja mkuu,..

ingawa nina mifano kibao ya wanawake walio ndani ya ndoa nao kutoka nje.
 
naomba kuiliza hivi mwanaume kwa nini anaenda nje ya ndoa na siyo na mwanamke mmoja wengi tu,na mke anampa kila kitu (starehe) na kumridhisha na kumpenda kwa dhati lakini mwanaume ndo hatulii y y y ?

Hapo tu ndio huwa kunakuwa na utata hasa bibiye akishakuwa VETERAN ndani ya nyumba. Yaani akisha kuwa ndani ya nyumba kwa miaka mitano na kuendelea. Kinamama wengi wanaanza kutoa dozi za ile shughuli yetu kama wanavyotoa dozi za dawa ya minyoo kwa watoto. Wengine wakiombwa huduma ndio kabisa wanajifanya kushangaa kwa nini mzee ana hamu na shughuli utadhani hawajui wajibu wao ndani ay nyumba.
 
jamani achaneni na huyo kiumbe anayeitwa mwanaume, hawaeleweki utampa huduma zote anazostahili, na wakati mwingine wewe ndio unamuomba mfanye lakini bado anahangaika tu. ni ushenzi tu walionao ndio maana ukimwi hauishi. mnauthi kweli nyie wanaume.
 
Acha jazba na matusi hayasaidii. Hii kitu ipo kwenye damu. Wewe unadhani tatizo kupewa? La hasha... Alianza Babu yako... akaja Baba yako Sasa unamshangaa nini mumeo?
 
Hao wanawake wanaotoka nao nje je wenyewe hawana ndoa?????????
 
Acha jazba na matusi hayasaidii. Hii kitu ipo kwenye damu. Wewe unadhani tatizo kupewa? La hasha... Alianza Babu yako... akaja Baba yako Sasa unamshangaa nini mumeo?

kwa hiyo hata wewe inaonekana una mwanamke nje ndio maana unaitete, muogopeni mungu nyie viumbe.
 
Asa da mkubwa mi si mwanaume ninayejua walichofanya babu zangu na baba zangu? mi nikiwaigilizia nimekosa nin?
 
Ndoa haiwezi kudumu bila kuwa na msaidizi - be it mwanamke kutoka nje ya ndoa au mwanamume!
 
Yaani wanaohangaika kutafuta wanawake /kutongozatongoza ni waume za watu why?
 
mhh! mtatuua kwa mapresha ya kutuletea mitoto ya nje.

Nonononon! Da mkubwa presha za kujitakia hizo achana nazo.. We elewa tu iko hivyo na haikwepeki sasa presha itatoka wapi? Si bora uletewe mitoto kuliko ngoma?
 
Back
Top Bottom