Theluthi Moja wa Wasichana wa Tanzania wako abused kabla hawajafika 18!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,462
39,928
Sasa tukiangalia baadhi ya topic zetu mbalimbali na attitudes zote kuhusiana mahusiano kuna uwezekano taarifa hii ya Unicef ina ukweli.

[h=1]Tanzania study shows one in three girls sexually abused[/h]
_54507110_tanzaniz002.jpg
The government has promised to tackle sexual abuse
Continue reading the main story [h=2]Related Stories[/h]

Nearly one third of Tanzanian girls experience sexual violence before they turn 18, a Unicef survey has found.
The figure among boys is 13.4%, says the UN children's agency.
The most common form of abuse is sexual touching, followed by attempted intercourse, it says.
Unicef official Andy Brooks said the survey was the most comprehensive carried out on this issue in any country and showed the government was prepared to tackle the problem.

"Tanzania is the first country with the courage to expose the full extent of child abuse among boys and girls," he told the BBC's Focus on Africa programme.
The survey also found that of those who had sex before they turned 18, 29.1% of females and 17.5% of males reported that their first encounter was unwilling.

This meant they were forced or coerced to engage in sexual intercourse, Unicef said.
Tanzania's Education Minister Shukuru Kawambwa said the government was determined to end sexual abuse.
It would set up reporting mechanisms for abuse victims and would urge teachers to take care of vulnerable children, he said.
Mr Brooks said similar surveys would be carried out in Kenya, Rwanda, Malawi, Zimbabwe and South Africa.

BBCNEWS
 
so far nawajua wadada wawili hapa ambao wamekiri wamewahi kuwa abused sexually

ni hatari saana

inaonyesha how few good men are out there

kibaya zaidi wengi hawasemi na ina waathiri zaidi kutokusema
 
Na hao inawezekana ndio wanao ripoti tu, pengine idadi ni kubwa zaidi.

Sasa tukiwa na viongozi wasio na maadili (wanao zaa na wanawake kinyume na Kanisa lao) na wenye vilabu vya usiku, itakuwaje hapo?
 
shule za msingi mfano
hasa za vijijini,walimu wanatembea na wanafunzi kama culture hivi
waziwazi kabisa

sasa la kushangaza mpaka university wadada wanadhalilishwa na wako kimyaa
 
halafu kuna thread humu inahusu kurudisha jkt hebu mtu aweke link

inahusu hasa habari hii
 
na hawa waganga wanaowaambia watu watembee na mabikira ndio wanazidisha idadi, si mnaona watoto wadogo wanabakwa
hadi na wazazi na walezi wao
 
Na hao inawezekana ndio wanao ripoti tu, pengine idadi ni kubwa zaidi.

Sasa tukiwa na viongozi wasio na maadili (wanao zaa na wanawake kinyume na Kanisa lao) na wenye vilabu vya usiku, itakuwaje hapo?

Mama unalenga wapi?
 
kuna ripoti humu
kuwa ajira serikalini na mashirika ya umma ni zangono

pata picha kama serikalini kwenyewe watu wanavua nguo kwanza ndo wanaajiriwa
huko kwengine je???????
 
sheria ni miaka 16

na walivyo wehu
wanasema mdada wa miaka 16 alie olewa eti aruhusiwe kupiga kura
 
Hii mimi wala sishangai hata kidogo. Kama jamii tunalea sana hizi tabia na wanawake nao huchangia kuwepo kwa attitudes kandamizi dhidi yao.

Sitashangaa wakija akina dada hapa na kusema wote au wengi wa hao wanaonyanyaswa kijinsia wanajitakia wenyewe.
 
Na hao inawezekana ndio wanao ripoti tu, pengine idadi ni kubwa zaidi.

Sasa tukiwa na viongozi wasio na maadili (wanao zaa na wanawake kinyume na Kanisa lao) na wenye vilabu vya usiku, itakuwaje hapo?

Dada FF,

Maadili yana muktadha. Kwa mujibu wa mila na desturi zetu, kitendo cha Dr. Slaa sio utovu wa maadili. Kwa mujibu wa dini zetu, kweli hapo ni issue, lakini bado siwezi kumpunguzia sifa zake kama kiongozi mwenye uwezo kwa kuongoza taifa hili maana tunataka kiongozi wa nchi (yenye waumini wa dini na wasio amini) na sio kiongozi wa kigango au kanisa.

I hope chuki yako itaweka mafuta kwenye gari....Oooh nilishasahau kwamba unashinda home tu-kazi yako kuu ni kutimua vumbi JF!
 
shule za msingi mfano
hasa za vijijini,walimu wanatembea na wanafunzi kama culture hivi
waziwazi kabisa

sasa la kushangaza mpaka university wadada wanadhalilishwa na wako kimyaa

They can't complain coz they use each other. Grades vs you-know-what!
 
Dada FF,

Maadili yana muktadha. Kwa mujibu wa mila na desturi zetu, kitendo cha Dr. Slaa sio utovu wa maadili. Kwa mujibu wa dini zetu, kweli hapo ni issue, lakini bado siwezi kumpunguzia sifa zake kama kiongozi mwenye uwezo kwa kuongoza taifa hili maana tunataka kiongozi wa nchi (yenye waumini wa dini na wasio amini) na sio kiongozi wa kigango au kanisa.

I hope chuki yako itaweka mafuta kwenye gari....Oooh nilishasahau kwamba unashinda home tu-kazi yako kuu ni kutimua vumbi JF!

Mmh maadili? Najaribu kupata picha ya maadili ya hao wanaotuongoza sasa. Mmmmmh!!!!
 
Heshima zote kwako mkuu lakini hakuna sheria ya hivyo Tanzania.

Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, kuhusu umri wa wana ndoa

Mwanamke na mwanaume wawe wametimiza miaka 18 ili kufunga ndoa. Hata hivyo mwanamke anaweza kuolewa akiwa na umri wa chini ya miaka
18 lakini sio chini ya miaka 15 kama atapata idhini ambayo hutolewa na baba na kama hayupo ni mama au kama wote wamefariki idhini itatolewa na mlezi wa binti huyo. Kama wote wamefariki basi hatahitaji idhini. Kuna wakati katika mazingira fulani mahakama inaweza kutoa idhini kwa binti kuolewa akiwa na miaka 14 lakini si chini ya hapa ikiwa ataonekana kwa mfano ana mimba. Pia mwanaume anaweza kuruhusiwa na mahakama kuoa akiwa na umri wa miaka chini ya 18 lakini lakini si chini ya 16 kama ataonyesha kuelewa jukumu lake kama mtu mzima. Lakini hii ni pale ambapo kuna tatizo kama la kumpa msichana mimba ndipo mahakama inaweza ikatoa idhini. Katika ombi la kuoa la SHABIRI A. M. VIRJI (1971) HCD NO. 407 la Mahakama Kuu ya Tanzania, mwombaji alikuwa na miaka 16 lakini alimpa mimba binti wa miaka 18. Mahakama katika kuchunguza ombi la mvulana la kuoa ilitoa kibali kwa sababu wote wawili walipendana sana na wazazi wao hawakuwa na kipingamizi cha wao kuoana.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom