Ipi,kama ikiwa itakua ndoa ya kuvutia??.....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ipi,kama ikiwa itakua ndoa ya kuvutia??.....!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Aug 11, 2011.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,674
  Trophy Points: 280
  Jana nilipata pm kutoka kwa jamaa yangu akiniuliza,kuna wana MMU humu kama wakifunga ndoa itakuwa yenye kuvutia,lakini pia wapo wengine wanavutiwa na watu humu,je wewe ungependa kama nani angefunga ndoa na nani ingekuwa poa?Je unaweza kusem kama ingewezekana ungetamani ufunge ndoa na nani?Usiogope sema tu huu ni mtazamo tu!Inaweza ikawa fursa kwako kusema kilicho moyoni mwako!
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,674
  Trophy Points: 280
  Mimi ningependa kuona kuona Mr.Rocky na bebii wakifunga ndoa,kwani hawa wana mitazamo tofauti ya ndoa,hivyo itakuwa ni wakati wa mmoja kumprove wrong mwingine!
   
 3. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  tumeanza kutamani kufunga ndoa na sikirini?
   
 4. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  MMU na pm ni nini?
   
 5. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Lady N... Avatar yako ya ndizi imenvutia sijui ni hii swaum......ndizi zimeiva utamuuuu........
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Eiyer naona unatafuta balaa
  Hahahahha nimeipenda hiyo
  Ila duh hapo nitakuwa nafunga na keyboard maana hata kuiona sura yake sijawahi
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,674
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Dogo,MMU ni kifupi cha,Mahusiano,Mapenzi na Urafiki halafu PM ni kifupi cha Private Massage!!
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mr rocky ni nani?
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Bebiii ndo huyu hapa anaitwa Mr Mwamba.
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mmmh kwani ndoa ni nini kwanza? ILA NAOGOPA FUMANIZI TAFADHALI USINITAJE HUMU
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hakuna wa kukufumania utakuwa wewe ndio mmiliki halali na mwenye copyright wengine wote watakaokuja wataambulia vumbi
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Marelia Sugu na Faiza Foxy, hawa watapendeza zaidi. hata wakienda shopping watakuwa hawana shida mmoja ananunua Hijab mwingine ananunu vipedo na kandambili.
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Mimi hapa jf ningependa niwe na wake wanne
  mke wa kwanza awe faizafoxy.....

  Wengine nitawataja baadae....lol
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Bebii ni nani??
   
Loading...