Naombeni ushauri ndugu zangu

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
637
Ndg wana JF

Najua wengi mna hasira kali na mgomo wa wakubwa wa mafuta.
Lakini naomba mchukue dakika zenu chache mnishauri.
Kwa kawaida nikitenda dhambi huwa naandikaga mahala ili kuepusha adha ya kusahau ili mwisho wa mwezi nikaungame kwa padre. Sasa ile karatasi ya mwezi uliopita imepotea nimetafuta hadi nimechoka. Sasa wasi wasi wangu ni je kaikota nani? Na najua mazingira ya upotevu ni ya nyumbani kwangu, siitokagi na hio dossier ya dhambi nje ya nyumba yangu labda siku naenda kuungama.

Mazingira kama haya mtu unafanyaje?

Nguli bana......kwa nini ujiua kwa kitanzi chako mwenyewe? We unaijua fika kuwa ni dhambi do you need to jot it dowan? Au ulikuwa unamtafutia mtu ushahidi?? Mwulize wife kama ameiokota!!

Halafu inaonekana wewe unatenda dhambi kimakusudi, mpaka unaziwekea dayari yake kabisa?!

We acha tu, sio kwamba natafutia mtu ushahidi ni utamaduni wangu tangu utotoni, nikiwa major seminary tulifundishwa kusahau dhambi ndio dhambi kubwa zaidi. So naogopa ku dhambi twice.

Yani kitendo cha kuandika tu hizo dhambi zako ni dhambi tayari..so unatenda dhambi mara dufu bila kujijua!! tafadhali chukua hatua..

mpendwa,

umenichanganya kidogo hapo. una maana wewe bado uko dhambini au bado unatenda dhambi? nijuavyo mimi, dhambi haitendwi! kama bado uko dhambini, i am so sorry, Yesu alishatukomboa wote kutoka dhambini, once and for all, kuanzia wakati huo, tunaokolewa kwa neema tu pasipo matendo ya sheria. nikutoe hofu kabisa kuwa ukiliitia jina la Bwana Yesu, utaokolewa hata kama hutakipata tena hicho kikaratasi ulichopoteza. kama kitakuletea matatizo na mke wako au mtu mwingine yoyote, basi nawaombea amani ya Bwana mpatane tena na kusahau. ila ukumbuke kuzaliwa mara ya pili ili uishinde dhambi permanently

ubarikiwe sana mpendwa,

Glory to God!

Naishi na familia yangu. My wife wangu na mtoto na dada wa hm.

muulize huyo dada wa home inawezekana ameifagia. Angekuwa ameona mkeo timbwili la asha ngendere lingeibuka.

Ndg wana JF

Najua wengi mna hasira kali na mgomo wa wakubwa wa mafuta.
Lakini naomba mchukue dakika zenu chache mnishauri.
Kwa kawaida nikitenda dhambi huwa naandikaga mahala ili kuepusha adha ya kusahau ili mwisho wa mwezi nikaungame kwa padre. Sasa ile karatasi ya mwezi uliopita imepotea nimetafuta hadi nimechoka. Sasa wasi wasi wangu ni je kaikota nani? Na najua mazingira ya upotevu ni ya nyumbani kwangu, siitokagi na hio dossier ya dhambi nje ya nyumba yangu labda siku naenda kuungama.

Mazingira kama haya mtu unafanyaje?
Nimejikuta nacheka bila kupenda! Mwulize tu wife kama kaiokota akurudishie!..lol

Inaonekana hiyo ilikuwa na dhambi ya kutoa nguo ukiwa na opposite sex!

Nimejikuta nacheka bila kupenda! Mwulize tu wife kama kaiokota akurudishie!..lol

Bora yeye ndio aniulize nitamwambia nilikuwa nafwatilia mahubiri hizo ni minutes za mhubiri. Ushauri wako ni sawa na kujivua gamba(unauma sana)

Yani kitendo cha kuandika tu hizo dhambi zako ni dhambi tayari..so unatenda dhambi mara dufu bila kujijua!! tafadhali chukua hatua..

Hii judgement yako kali! Wapi kumeandikwa kuwa ukiandika dhambi ni dhambi?

Unaweza kuta alieokota anakucheke kimoyo moyo
jinsi dhabi zako zilivyo za kitoto....

Huku yeye zake ni kubwa mno lol
suppose ni mkeo lol

Hahahahahahaha lohhhh
Samahani sana Nguli sijui
Kwa nini kicheko kimenijia

Anyway ..
Pole kwa kupoteza karatasi..
Lakini ukienda kuungama pale
Mwisho wa ile sala huwa tunasema
Nisamehe na nilizo sahau.. tubu
Kwa imani na utasamehewa...
Baadaye lolz.

Kaka pole sana kwa hilo. Kama kuna dhambi kubwa imekula kwako na ujue itakuwa na baraka zaidi kwani utakuwa umeungama kwa mungu na wanadamu.

Kaka pole sana kwa hilo. Kama kuna dhambi kubwa imekula kwako na ujue itakuwa na baraka zaidi kwani utakuwa umeungama kwa mungu na wanadamu.

Mshamu, thanks bro kwa kunipa moyo na nguvu

Hahahahahahaha lohhhh

Samahani sana Nguli sijui

Kwa nini kicheko kimenijia

Anyway ..

Pole kwa kupoteza karatasi..

Lakini ukienda kuungama pale

Mwisho wa ile sala huwa tunasema

Nisamehe na nilizo sahau.. tubu

Kwa imani na utasamehewa...

Baadaye lolz.

Kweli unastahili kucheka kwa vile kwa kifupi nimepoteza dhambi zangu. Itabidi uninunulie Ipad nizihifadhi kwenye advanced way

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom