Je ungeamua kufanya nini? - kwa waliooa na walioolewa tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ungeamua kufanya nini? - kwa waliooa na walioolewa tu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jibaba Bonge, Aug 11, 2011.

 1. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Ingekuwa inawezekana kurudisha nyuma miaka na ukaweza kurudi mpaka muda kabla hujaoa ama kuolewa; Je ungeoa/ungeolewa? na kama ungeoa/ungeolewa, je ungekubali kuoa ama kuolewa na mwenzi wako uliye naye sasa?
   
Loading...