Kufumania na kufumaniwa kipi bora?

hakuna ubora hapo kwanza sio ujanja maujanja kuwa na mtu wako permanent sio wa wenzako
 
Toa sababu kuntu kutetea jibu lako .

"Ikiwa mtu atazini na mke wa mtu mwingine, yaani, mke wa jirani yake, wazinzi hao wawili lazima wauawe"

"Usizini."

"Usikutane kimwili na mke wa jirani yako na kujitia naye unajisi"
 
Nikifumaniwa Pressure itapanda
Nikimfumania Pressure itapanda
..... well,
...................... hakuna bora...............
 
Bora ufumanie kwa kuwa wewe ndo utakuwa na maamuzi ya kuamua ila kufumaniwa ni hatari kwa kuwa anaekufumania ndo anakuwa incharge
 
Usiombee lolote kati ya hayo mawili maana uwezekano wa kuua au kuuwawa ni nje nje
 
Bora kufumania kwani nikimfumania mke wangu nitampa talaka hakafu yule mshikaji nitamuua kwa kumgecha (choma kisu)!
 
Mr. Creative

1. unawezaje kumpiga mweziwe kibuti bila yeye kujua nipeni maujanja.
2. Kufumania na kufumaniwa kipi bora.

Ngoja ni search tena Thread yako ya tatu nizmwage hapa tukupe majibu kijumlajumla!
 
Vyote ni ujinga tu. Kujitia aibu. Kama mwenzi wako umeambiwa yupo mahali anafanza tendo la ndoa, hamna haja ya kwenda kwani unajiaibisha mwenyewe pia. Chukua hatua nyingine unazoona zinafaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom